I decided not to kill you

Uko smart sana I suwea ningemfahamu huyo binti ningemwambia
 
Uniwie radhi boss ila wewe na huyo mwanamke akili zenu sawa..!
 
nimejifunza kutochepuka ,naapa sitochepuka tena
 
Too long unnecessarily
 
Probability ya kupata hiv ni 1 katika 2500 ya kusex na mwenye maambukizi kimahesabu. Kutokana na uhatari huambiwi hizi namba na mdaktari lakini ukweli ni huo ingekuwa ni 1:1 maambukizi yangekuwa makubwa sana. Hivyo haujapata bado kuwa mwangalifu.
 
acha kudanganya jamii, hata std 3 wanajua unadanganya.
vzr leta mawazo ya nini kifanyike aisee mkuu tafadhali
huu ugonjwa sio wa kisport sport japo tuko kama tumesahau kama una exist.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…