Sorry! niliona The Boss na Kongosho nikajiletaMwali, umefuata nini huku?
Tumekuja kukaa huku na wewe umekuja
Ntakuwa sikumwiti wa kwenda naye Fishing . . .
Hiyo signecha yake hata sijui anamaanisha nini
Anyway, tumchekeshe basi.
Sorry! niliona The Boss na Kongosho nikajileta
Si unajua mi ni biggest fan wa couple yenu?
Kama unataka afurahi tafuta msaidizi bwana
The Boss anaonekana he feels lonely,
we nae umezidi kutaniana na yule Mhaya (amefulia)
Business patina ananipotezea muda tu.Ha ha ha ha ha Mwali
Maneno na jicho, ukinipeperushia ndege yangu
Ntahakikisha business patina nampaisha pia.
He is not not lonely, anadeka tu.
Business patina ananipotezea muda tu.
Yani toka Erotica aingie hii forum hanioni tena
Hata nifanye nini naona kama I am transparent
Nadhani nitajirudilia kwa Saint Ivuga miye.
But kama kuna nafasi ya small house hapo sema
Let's try bwana, but nina wasi wasi hawezi kujaHa ha ha, not you
Michelle alinisumbua sana kumuondoa
Na wewe tena jamani? Mtaniua
Nikuitie business patina hapa?
Let's try bwana, but nina wasi wasi hawezi kuja
Nimemuona pande za MMU na chit chat...
Turudie tena kwenye u-nyumba ndogo
wacha uchoyo Konnie, changia na ngugu...
Hii gate away mbona tumeisubiri kwa muda mrefu sana?Please, sio huyu bana
Ntakupa vingine vyooote
Bora nimwite EMT, anajali sana
Kumbuka tu zile mention za kwanza
Na kasema tunaenda weekend gateaways
Ila na mie naalika mtu mmoja lol
Hii gate away mbona tumeisubiri kwa muda mrefu sana?
Halafu huyu mtu wako sijawahi ona akisema nia yake wazi
Twende tu mimi na wewe au ndio tukafanye trial period,
Twende wewe mimi na The Boss tuone ... he is borred.
Kweli naona umenikatalia, sio vizuri ndugu yanguUndergun point, siwezi enda TB afu na wewe
You can shoot me, happily.:smiling:
Sasa wewe hujielewi
Ndo maana hatuendi
EMT yuko tayari, ila alikataa fishing
Kweli naona umenikatalia, sio vizuri ndugu yangu
Nambie basi tutaongea next time, mi nimedhamiria.
Sasa mwambie EMT na mimi niko tayari for fishing
Hao samaki tunavua kwa ndoano au kwa makira? :fish2:
Hahahahahaha, yani usione nimekaa kimya sana ,Huyu, kwa kweli hapana jamani
Yaani kamoja tu afu niwagaie, siwezi
Huyo anataka yeye ndio awe fish
Na wewe uwe mvuvi lol
Wee hujui kusoma alama za nyakati?