Ok, hata hivyo pole sana,, najua hali uliyonayo kwa sasa jipe muda tu,,,,,ni swala la wakati, nilishasema mapenzi ni dunia nyingine kabisa inayojitegemea,,,,ukiwa katika hiyo hali unaweza kufanya kitu ambacho baadae ukishakuwa vizuri unaweza kuanza kujishangaa mwenyewe,, hebu fikiria kabla ya huyo je hukuwa na mwingine?,,je ilikuwaje wakati mnaachana?,,, naamini kama ulikuwa nae na mkaachana baade ukawa vizuri, naamini hata huyu itakuwa hivyo hivyo,,jichanganye maisha yataenda tu hauko peke yako ni janga la wengi,,,