I cant stand the rejection

I love to feel loved but I cant the stand rejection, I tried to a seduce in different manners and techniques but it seems that the fortune is not mine. It seem that I have been running in the wrong direction:sad:
:sad::sad::sad::sad::sad:
 
Hata simba huwa anakosa mawindo wakati fulani lakini haimaanishi kwamba yeye si mfalme wa pori...

Boys will always be boys...
Ila kweli japo huu usimba wangu(as as man) unaweza kupelekea kula nyasi sasa.
 
Kabla sijasema chochote, naomba kufahamu jinsia yako kwanza, wewe ni ME au KE?
Mimi mwanaume bhana,,ukisoma post vizuri utaelewa jinsia so jaribu kuelewa post kabla ya kujibu
 
Dont we all wanna feel loved? But sometimes you have to stop and evaluate yourself. What are your desires? Whom do you seek, is it the right time? etc.etc
 
Mganga toka dodoma, kusafisha nyota, zindiko, kuvuta mpenzi aliyembali, kuzuia vibuti/(cha mbavu). Mawasiliano: 065?652!68.
 
Bora kuumizwa na chaga kuliko na relationship.Unakonda,unaweweseka,unatamani usingezaliwa na majanga mengine kibao
bosi maumivu ni maumivu tu,,chaga zikizidi ni sawa tu na kuumizwa kwa sababu unabaki unajiuliza "why always me"
 
Hongera JK naona kata product sasa ziko sokoni.
teh teh ...Mkuu bila kata wengine wasingesoma,japo sikusoma huko lakini huna haja ya kudharau wa kata hata mbuyu ulianza kama mchicha
 
ebu acha kutafuna maneno try to be open wat happened? maana naona kama vile umesononeka sanaaaa???
Ni kweli nimesononeka sana,na najihisi labda nina bahati mbaya. I have tried to explain it Mkuu ...tatizo kubwa ni chaga yaani rejection ninapotupa mistari.
 
Asante mkuu kwa ushauri wako murua,ngoja nijipe moyo pengine kesho yaweza kuwa zamu yangu ingawa kwa sasa nishapoteza kabisa hamu ya kutongoza.
 
Mkuu unaposema level yangu sijaelewa ni katika nyanja zipi labda, kiuchumi,kimaisha,kielimu,kimo ama mwonekano?
 
ndo maana unakataliwa

hii lugha ya wapi???
Jamani nchi hii tuna lugha mbili za kitaifa na zote tunaruhusiwa kuzitumia, lakini naamini ulielewa post yangu lakini mkuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…