I cant let her go

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,326
Reaction score
3,446
ambo vipi wana JF nilikuwa na mpenzi wangu wa kike but mahusiano yetu hayakuwa mazuri coz amenicheat na ameconfess so nikaamua iachane naye though sijamtamkia but ashajua kama ntka nimuache nw kasafir kaenda nje ya nchi kusoma natamani sana nimtoe ktika mawazo yangu lakini kila ninavyojitahidi ni kama vile nashindwa nilijaribu kumpotezea bila hata ya salamu kama siku 3 hivi lakini alivyonianza tu nilijisikia kuridhika naimkajibu thena nikampotezea kama wiki nilivyoona kimya kimezidi nikamuanza mimi,naombeni ushauri nifanyaje nw nataka nimuache kabisa kwa sababu najua kwamba i cant get the right without letting go of the wrong one ila tatizo ni kama vile i cant let her go please nishaurini nifanyeje niwezekumsahau nishamwambia maneno ya hovyo ili anichukie lakin wapi hana hata mpango wa kunichukia...
 
hahahaha eti nilishamwambia maneno ya hovyo ila hanichukii....sasa wewe una wrong mentality kijana.
sikiliza wewe sio wakwamnza relatioship kwenda vibaya au kupitiwa mbavuni. ni vizuri umeliona kuwa haiwezekani kupata goma lengine kama bado u aint over her.....
now getting over her itachukuwa muda mwana na bliv me kwa kuwa yupo nje ya nchi hapo tayari imekusaidia sana maana hamuonani. ni jambo la kawaida kum-miss ex wako maana alikuwa sehemu ya maisha yako. itachukuwa muda mpaka hizo hisia kufa. la msingi dnt initiate contact...wacha yeye akuanze na akikuanza wewe jibu wala usiwe na kinyongo....alishaingia maishani mwako ni vyema mkawa mmeachana kistaarabu...dunia inazunguka mwana u never know wen u myt need her help.
 

Ha haaa usimuache mfanye awe nyumba ndogo yako tafuta nyumba kubwa ingine.
 

Kwani...kila kosa la ku'cheat' linapotokea basi mahusiano lazima yaishie hapo (muachane)? Ingekuwa hivyo mbona kungekuwa na couples chache sana duniani!

Hivi...mtu ukiwa na asali yako taamu...akiingia sisimizi unamwaga chupa nzima?! Unaigonga gonga tu, sisimizi anatoka nduki, we unaendelea lamba asali yako kwa raha zako! Tafakari...
 
Bado mnapendana nyie. Jaribu kumpa nafasi nyingine kama moyo wako utakuwa tayari kufanya hivyo maana inaelekea akili yako imetawaliwa na njemba nyingine kuingia kwenye maeneo yako ya kujidai. Kama unaona huwezi kumpa nafasi nyingine basi mpotezee bila salamu na yeye akikuanza kwa salamu unachuna tu.

Ni ngumu sana moyo na akili vinateseka mno lakini baada ya muda vyote vitaanza kuzowea na wewe kuweza kusonga mbele na maisha yako bila ya kuwa na msongo wa mawazo. Kila la heri kwa lolote utakaloamua.


 
usiweke moyo wako kwa mwanamke hata siku moja. never trust a woman, never invest all your minds & effort to a woman ispokuwa mama yako mzazi tu!!
never trust a woman, hata awe na cheo kama joyce banda, kukuumiza ni kawaida. wewe mpende pende tu ila dont invest 100%. siku ukiumia ndio kama hivyo unabaki kumbwela mbwela. wewe msamehe, na jua kuwa wanawake ndivyo walivyo. wanahitaji mda wote kuwa cared & kushawishiwa na kuoneshwa upendo ( hata kama wa kinafiki).
ukifanikiwa hilo presha na visukari vitakutoka.
 

I think the opposite gender is true!!!
 
Nikupe akili ndugu yangu? Usimuache huyo binti, sahau yaliyopita na msonge mbele, muulize kama kajuta kisha msamehe na usiwaze tena
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…