I can`t belive this . | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I can`t belive this .

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sonara, Dec 25, 2010.

 1. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #1
  Dec 25, 2010
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  :angry: Tunaishi katika 21 century tukiwa bado katika mentaliti hizi na wenye kufanya hivyo ni viongozi wa nchi ?

  [​IMG]
   
 2. Tundapori

  Tundapori JF-Expert Member

  #2
  Dec 25, 2010
  Joined: Aug 12, 2007
  Messages: 521
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Ubwanyenye na kujizalilisha wanawake, yawezekana anatafuta future yake, ebo.
   
 3. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #3
  Dec 25, 2010
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Huyu mama ni kilema anayeomba kuwezeshwa ili aweze au sioni vizuri?
   
 4. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #4
  Dec 25, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Mabinti wa Kinyasa ndo walivyolelewa wakiwa wanaongea na mkubwa yeyote wa kiume ni lazima kupiga magoti.na sio vingine
   
 5. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #5
  Dec 25, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  kwa hali hii jk ataja achia nchi kweli huyu?
  na sidhani kama huyu maza alipona!
   
 6. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #6
  Dec 25, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Jk anajisikia sana kwa style hiyo.
   
 7. Thomas Odera

  Thomas Odera Verified User

  #7
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 644
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Huo nadhani ulikuwa wakati wa kura za maoni ccm. Mama alikuwa kwenye haraka za kutafuta ubunge viti maalum
   
 8. doup

  doup JF-Expert Member

  #8
  Dec 25, 2010
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  hata mimi naona hakijaaribika kitu, kuna wenzetu hiyo ndio destuli yao, basi akikutana na baba mkwe hata kama alikuwa kwenye shamba la mbigili atapiga magoti wasalimiane na waongee hata kama maongezi yatachukua sasa nzima atabaki hivyo hivyo.
   
 9. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #9
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Huyu mama yuko katika ibada hapo au???? Je, na kwa mumewe nyumbani nako ni hivi hivi????????????????
   
 10. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #10
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Acheni kukurupuka huyo ni mama wa Liafrika (mmalawi) na yuko na viongozi wa kiafrika wanaume. Watu wa Mbeya na Malawi hiyo ni kawaida. Mzee wengine tumeoa huko, mama Mkwe huwa anafanya hivyo na mke wangu huwa anafanya hivyo kwa Jamaa zangu wa kiume walionizidi mimi!
   
 11. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #11
  Dec 25, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Ndio maana viongozi wa ccm wanajiona kama 'aristocracy' ya Tanzania. Sijui huyu mama hii style yake kaitoa wapi.
   
 12. lm317

  lm317 JF-Expert Member

  #12
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 452
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  JK.JPG
  Mh!
  Jinsi anavyomuangalia huenda ni kama vipi!
   
 13. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #13
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  hata huyo mzungu anashangaa sana...just by looking his face. kwa mawazo yangu anaonekana akisema..shiiiiittttttt, what the hell is this?
   
 14. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #14
  Dec 25, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,838
  Likes Received: 2,000
  Trophy Points: 280
  hivi mumewe anapata haya magoti?
   
 15. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #15
  Dec 25, 2010
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 180
  Mzungu yupo wapi hapo? Hata mhindi au mtu wa madagascar utaia mzungu
   
 16. T

  Topical JF-Expert Member

  #16
  Dec 25, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  sipendi upumbavu huu..anyway

  Angemwambia aache utoto wake waziri mzima unapiga magoti.
   
 17. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #17
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Kuna anayemjua huyu Mama? kweli usawa lazima uendelee nafasi za wanawake ndio wakati wake huu
   
 18. IHOLOMELA

  IHOLOMELA JF-Expert Member

  #18
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 833
  Likes Received: 362
  Trophy Points: 80
  huyu mama yawezekana ni muhaya au msukuma...acheni kumsakama, ni mila ya kiafrika hiyo hakuna ubaya. Na uangalie bendera kwanza...ujue huyu ni mzungu au?
   
 19. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #19
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  hayo anamfanyia hivyo mumwe wake nyumbani ? au unafiki tu
   
Loading...