KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,828
- 12,321
Kwanza nakubali dogo ni jembe ile mbaya
Ila usisahau na uwezo wa MUNGU kumfanya dogo kama huyo kutoa amri na MIGOMBE yote ikawatii
KWELI WAKUU MUNGU MKUBWA
the hidden truth, never told till 10 to 20 years! si unamwona hata hana viatu na utajiri wote huo!? so strange!!!!ila wafikiri wenzie wa umri huo wako wapi kwa sasa? je yepi yatakuwa maisha yake 10-20yrs to come??
View attachment 96607
Yaani unakuta ana power yakufa mtu, akisema tu wanamsikiliza. Hana haja yakuwachapa.
ila wafikiri wenzie wa umri huo wako wapi kwa sasa? je yepi yatakuwa maisha yake 10-20yrs to come??
yani huyo dogo ananikumbusha enzi zangu 90s
kipindi hicho bariadi (now simiyu) daaah kama
mimi vile yani.kijijini masewa. ama kweli
jasiri haachi asiri.
Mie hapo naona child labour tu, huyo dogo wanamkomaza kwa kazi za watu wazima.