I bet

hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa loh! na kweli kuliona yataka moyo
 
what else is there to see? nimemuona godzilla tu.
 
duh!me ndo namwona sasa hivi..hahahahahaha
 
Aisee ulikuwa umenipata.Mpaka nimeangalia tena ndo nimeelewa.Kaazi kwelikweli. Ama kweli hatari nyingi hutokea kunako starehe au raha
 
Mbona mie mwenzenu bado sijamwona godzilla.!!? Yuko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…