I am urgently looking for data recovery services

Zamazamani

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2008
Posts
1,903
Reaction score
831
Wadau
Nina HP Server DL360 G7 ambayo imepata matatizo na haiwaki..ila kuna data ambazo zipo very sensitive kwenye hard drive zinatakiwa by today!!!!...naomba msaada wa anayeweza kutoa huduma hii kwa haraka iwezekanavyo ikiwa ni pamoja na kama kuna mtu mwenye server kama hiyo hapo!!!..ofcourse hata kwa malipo
 
Imepata matatizo gani exactly. Kuwa mwangalifu sana, hizo server HD zinakuwaga configured katika RAID array, yaani hd zake zinategemeana so ukianza kuzichezea unaweza kupoteza data zote. Kama sio HD zilizoharibika ni bora kuifix machine yenyewe.
 
Mkuu ushauri wangu kama ukipona kweny hili,ni muhimu kwa server kufanyiwa partion only kama hakuna na data za muhimu zisiwekwe kweny driver yenye OS,backup kwa server ifanyike mara nyingi uwezavyo huwezi elewa umuhimu wa backup za mara kwa mara mpaka yakukute.Sasa kama management huwa hawatoi pesa ya kununua driver for backup huu ndiyo muda wa wewe kuwaelimisha umuhimu only kama hujalikologa mwenyewe.
Wewe kama ni IT I hope unacontact kama huna ni vizuri uwe na contact za IT wenzako yanapotokea kama haya unawapigia wanakupa ushauri.Wengine post ndiyo tunaiona muda huu,pia hukutoa information walau uko wapi ili walio jirani na wewe wakusaidie.
Sijawahi kutumia Linux kwenye server ila kweny pc/laptop za windows ikisumbua nakamata ubuntu narun bila ukinstal unachukua data zako zote za muhimu maisha yanaendelea.
Pole mkuu " only sometimes we learn the hard way"
Sema uko wapi ili tuone kama tunaweza kukusaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…