katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,761
hakuna tatizo, njoo tuwe marafiki hahahaMambo zenyu usiku huu,
Jamani naomba ushauri hivi kunakosa kama mtu unataka kuwa rafiki naye ila sio mpenzi ??
Kuna tofauti ya mpenzi na rafiki
Ila niurafiki tu kunaubaya ukipenda kuwa na urafiki na mtu jinsia tofauti???
😆😆😆😆😆nipe no yako tuwe marafiki basi maana hamna ubaya
Sio mbayaA shoulder to cry on becomes a dick to ride on.
NitajaribuKatika maneno 10 mtakayozungumza 3 yatahusu uhusiano.....kama uhamini jaribu
Ni vigumu pia jinsia tofauti kuwa na urafiki wa kudumu na mke/mume kwa muda mrefu bila kuonyesha hisia.ndio maana watu wakioa au kuolewa wanajaribu kuwa mbali na huo urafiki,kwani wakiendelea kuwa marafiki mwisho wake mara nyingi unakuwa sio mzuri.Nitajaribu
Why ???Ni vigumu pia jinsia tofauti kuwa na urafiki wa kudumu na mke/mume kwa muda mrefu bila kuonyesha hisia.ndio maana watu wakioa au kuolewa wanajaribu kuwa mbali na huo urafiki,kwani wakiendelea kuwa marafiki mwisho wake mara nyingi unakuwa sio mzuri.
Mambo zenyu usiku huu,
Jamani naomba ushauri hivi kunakosa kama mtu unataka kuwa rafiki naye ila sio mpenzi ??
Kuna tofauti ya mpenzi na rafiki
Ila niurafiki tu kunaubaya ukipenda kuwa na urafiki na mtu jinsia tofauti???