I am single now, she left yesterday!

Kwa visiwani si ajabu...

japo wadada wananishinda kitu kimoja, unafanya mawasiliano Na mtu, mnafika stage ambayo unamwonyesha mwenzako hisia flani, ilhali humtaki..

women are from mars kwa kweli
 
Hao ndo wanaume bwana kuacha na kuingiza chombo kipya ndani ya siku saba inawezekana kabisa kwao. Mpotezee hafai huyo unless otherwise kuna kitu unagain kutoka kwa huyo kaka
 
anatumia kufikiri kwa hisia sio akili
 
Mfupa uliomshinda fisi kuuweza ni kazi sana...kwani we unajiskiaje,unampenda?
 
Huwa sitaki mawasiliano na watu kwani wanaweza kukuharibia pale ulipotumia miaka mingi kutengeneza
 
Hapo ulipotaja makalio umeharibu thread nzima wallah
 
Hajaachwa mtu hapo, ukiingia tu, utaachwa wewe....
 
Acha kubana bhana

Mpe ndoa, amekupenda sana, unataka nini zaid?
 
Ushaanza ukuda na udukuzi
Hivi ni nani alokuroga siku hizi weye, wala hukuwa hivo huko nyuma
Yakheee, wasema alikuwaje 'huko nyuma?!' Huko visiwani mwatufurahisha sana ati! Ntakuja niwatembelee siku moja hv karibuni, lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…