I am single now, she left yesterday!

Exactly...hii Inaitwa leading..una mlead Mwenzio halafu unamuita chizi kwa ku expect more from you
Brother it was just a friend on line sikuona tatizo just to be a friend na nilimchukulia kama rafiki mwema na ndiyo maana alipojaribu ku cross the line nikawa mkali akanywea sasa ile kumwambia sitaki mume wa ku share akasubiri mkewe aondoke ndiyo a change gear wakati miye wala sikuwahi kuwaza kuhusu kuwa na mahusiano na yeye.

Labda leo hii mnambie huko bara hakuna urafiki wa online kati ya mtu mume na mtu mke usiohusisha ngono ndiyo nijue!
 
haya bana, fanya maamuzi mapema. Ila akili kumkichwa.
 
The Boss unamaanisha nini kwa kusema hivyo?
Wewe ulimpa Mwenzio impression kuwa angekuwa single ungekubali...now unamlaumu....thru chatting uli entertain nyie muwe wapenzi...
 
Last edited by a moderator:
Zinduna next time humpendi mtu mwambie tu humpendi na haitawezekana...ukianza mpa sababu why...ndo hivi ana assume kuna uwezekano hapo later
 
Wewe ulimpa Mwenzio impression kuwa angekuwa single ungekubali...now unamlaumu....thru chatting uli entertain nyie muwe wapenzi...
Niliposema siaki kuwa mke wa pili bali nataka mume wapeke yangu sikumaanisha amuache mkewe ili anioe. Niakuwa wa mwisho kufanya dhambi hiyo.

Nafahamu vizuri tu kwamba unatafuta mahali pa kunitumpia lawama kwa sababu wewe ni bingwa wa kupindua maneno kama Nyani Ngabu LOL
 
Last edited by a moderator:
Zinduna next time humpendi mtu mwambie tu humpendi na haitawezekana...ukianza mpa sababu why...ndo hivi ana assume kuna uwezekano hapo later
Hivi kuna mwanaume wa siku hizi anayeweza kuambiwa kwamba hapendwi na mwanamke kisha akakubali tu kirahisi... ukiwemo wewe?
 
shosti asikushughulishe akili yako,ukimuona mwenzio ananyolewa bila kutiwa maji,weka maji chako kabisa...
 
Hongera sana mkuu..
Hapa hakuna mkweli, hii post umeitengeneza (ukweli unao mwenyewe) ili ujisafishe upande wako, inawezekana umechangia jamaa amuache mtu wake kwa kumwahidi utakua nae kwa sharti la amuache mkewe kwanza. Sasa unakuja kupima maji huku jf......Nenda kamalizie your mission.
Adui wa mwanamke ni mwanamke .................
 
Watu bwana....yan alipokuwa anakueleza mambo ya mkewe alikuwa mwongo tu akitaka kukuchota akili ili akuingize kwenye himaya yake wanaume wajanja sana. Mimi mtu akishaanza kunisimulia matatizo ya ndoa au mahusiano yake huwa naenda kwa tahadhari sana.....wanakuwaga waongo tu....
 
mmmh kama unahisi ulimpenda na ukaweza ushauriana nae mpaka ulioweza wewe basi unaweza oana nae.... ila hukuwa wazi kwake huo mkaka tokea mwanzo kuwa humtaki zaidi ulimuweka weka .. kama unampemda angalia moyo wako tu
 
Ushaanza ukuda na udukuzi
Hivi ni nani alokuroga siku hizi weye, wala hukuwa hivo huko nyuma

Tread well Zinduna, mie dume la mbegu sio wa kula shokishoki na juisi ya miwa nkalala...chunga sana!:baby:
 
Last edited by a moderator:

very true.. .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…