Uzungu umekuzidi na utakuponza!
Utaoleka vipi kama mwanaume akisogeza mdomo kidogo amekula tenda?Utakua "mwepesi" sana!Sijui "magnet" sijui "involuntary action" sijui imetokea tu,wewe ni "mwepesi" period,kufugika itakua ngumu,heri mwana kajiachia mapemaaa. Halafu hii "kiss" unayosemea ni indeed "kula tenda",mkisema "kiss" mnapunguza uzito wake,semeni kwa kiswahili chetu "kula tenda"!