I am scared!!

Hivi kwa nini wanaume wanapenda sana Stripe club wakati unakuta mtu anaishi na mwanamke wake kwenye nyumba moja...ni kwamba ukilala ukiamka uko naye why sasa usimuombe yeye astrip na badala yake mnakwenda kuangalia mwanamke mwingine?....
 

YINM...Me i have been every where...mpaka club za uswahilini nimefika si bongo si marekani...i have been into men's strip club,women stri clucb,Gay/lesbian strip club (ila this is funny)! kama hujawahi please go huko aisee utaona rangi zote chalii!...
 


Ahahah Aisee na mimi washikaji zangu fulani nilienda kuwatembelea huko Midwest late 1990s, nashangaa tunapata ulabu mpaka 0100 ndio watu wanasena aisee tujitayarisheni kwendu club. Du, mitaa ya 0200 watu tumefika huko East St louis tunapita drive through tukaorder chupa yetu ya Gordons hao tunaendela na ulabu, halafu around 0300 tunafika club tunakuta line sio mchezo yaani ndio kwanza club inaanza. Aisee, sijawahi kuona lawless place kama uko yaani anything goes, du.

Kelly01 Pole sana na I hope umeimarisha usalama hapo crib.
 

Mhhh wewe utakuwa ni chapombe sana...Gordons uwiiii of all the pombez?
 
Is it just me or has anybody else noticed? Jamani grammar na spelling TAABU,eh.
For s1 who lives in the suburbs of some city to make such grammatical mistakes is a shame. "Safe awareness, papper spray" etc. Mkikaa huko jamani msikazane kucatch up on American slang. Cover the basicss
 
Hivi kwa nini wanaume wanapenda sana Stripe club ...?....

wewe huku ulifuata nini?

i have been into men's strip club,women stri clucb,Gay/lesbian strip club (ila this is funny)! kama hujawahi please go huko aisee utaona rangi zote chalii!...

si ajabu nawe ulikuwa ni mmoja wa wanaostrip au lesbian na ukalazwa chalii. sasa hilo kapu lako la keki linajilia expired stuff. acha umal...a
 
Is it just me or has anybody else noticed? Jamani grammar na spelling TAABU,eh.
For s1 who lives in the suburbs of some city to make such grammatical mistakes is a shame. "Safe awareness, papper spray" etc. Mkikaa huko jamani msikazane kucatch up on American slang. Cover the basicss
 

injinia sasa kama mtu anakung'uta katika keyboard 500 words in seconds,hizo mistakes are invitable
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…