DECEMBER 4
Member
- Dec 4, 2019
- 18
- 17
Nijichanganye kivipAsnt sana ...
Sikuambii karibu maana umejileta mwenyewe sasa wee jichanganye
Nina bahati nmekaribishwa na warembo kemkemkaribu mkuu
Warembo mmenikarisha vizuri sana [emoji178]Love you too.
Kuja kichwa kichwa ujuaji kujimwambafaiNijichanganye kivip
AsanteKaribu sana JF mjukuu wetu GT.
Ameeeen.Asante
😀😀😀 anatuchezea akili tu hapa umeshamstukia ni mfagio wazamani kumbe.Post namba saba inadhihirisha kuwa si mgeni JF, ID ndiyo mpya.
Karibu tena