I am new here guys jf members

Karibu sana,jiandae kwa vurugu za watu wa humu,hujatuambia umetokea wap?umri wako?kama umeolewa au lah(jokes)
 
Karibu, mods wameniambia mm ndio nitakuwa Guide wako hivyo usisite kunicheki PM kwa lolote lile, karibu sana
 
kwa hyo umechagua picha zako zote umeiona hiyo ndio best hapo 360 juu
 
Karibu sana mtoto mzuri.

JF huwa inaandaa party maalumu ya kuwakaribisha watoto wazuri kama wewe kila mwisho wa mwezi.

Mwezi huu utakuwa miongoni mwao, nitaku PM kwa maelekezo zaidi.
Huyo ni dume na hiyo ni avatar tu. Ukienda PM jipange kuondokewa na marinda
 
Hapa hapa kwenye hii apps mpya ya jamii forum...namna ya kuanzsha thraed sielewiiii wajamen
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom