Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 14,250
- 40,774
Bangi ni suluhisho la kudumu, niamini mimi. Bangi iliokoa maisha yangu !Sijawahi kuvuta na sitarajii kuvuta ndumu! Ni suluhisho la muda mfupi sana.
Bangi ni suluhisho la kudumu, niamini mimi. Bangi iliokoa maisha yangu !Sijawahi kuvuta na sitarajii kuvuta ndumu! Ni suluhisho la muda mfupi sana.
Umechacha nikukopeshe utanilipa ukiwa fresh!?Acha utani aisee. Nina hali mbaya na siyo mambo ya mapenzi kama wengi mnavyofikiria.
You got to think beyond sex bro
Usiogope kufiwa,ni Jambo la kawaida,na mshukuru Mungu kwa kila Jambo!!Ahsante sana. Kidume nimepoteza ramani kidogo. Naona kama dishi limeyumba
Nasikiaga kuwa shetani huwa anakimbilia kutoa backup faster kabla.mitume na manabii hawajawasiliTafuta bangi uvute mzee, utanishukuru baadae
Anahitaji msaada na siyo wishesPole sana ndugu yangu MUNGU akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu mkuu.
Sasa si uwongee na mpenzi wako au Mke wako!?Najitahidi ila ndo najikuta mawenge sana. Hapa najua ningemrukia mshkaji hewani tukaongea hata masaa matatu nikitoka najihisi mwenye nguvu na uwezo wa kwenda mbele ila naye yupo futi sita anakula changarawe. Dah!
Pole sana ndugu, tupo wengi tumeshapitia hayo. Unaweza ukadhani linaisha lakini kila mara linakujia then you go down again.
kama umepoteza watu uliokuwa unawategemea, it hurts a lot. unaweza kuwa na ndugu kibao lakini ukawa na rafiki ambaye ni zaidi ya hao. Mara nyingi watu huwa tuna ndugu Vultures who are there to tap not to help.
Chukua likizo kama umeajiriwa au unajiajiri, nenda sehemu ambayo unaikumbuka inaweza kukuriwaza, tafuta rafiki mwende naye hata kwenye mbuga za wanyama.
Pole sana at least wewe hujafikia wanakofikia wengine kujifungia ndani. Depression ni mbaya sana.
Fanya lolote unalolipenda ili kuipta hali hii ya mpito , kama ni mnywaji kunywa , kwa mie mpenda safari ningesafiri mbali kabisa nikapata new experience na watu wapya, huwa inasaidia sana ku settleKaribia ninunue chupa kubwa ya mvinyo ila nikalipotezea tena hilo wazo
huo ndiyo muda mzuri sana wa kusoma biblia na kumjua Mungu, maana Mungu peke ndiyo anawafanyie wepesi wenye mizigo iliyowaelemeaNawasalimu wana jukwaa!
Kihisia, akili na saikolojia nimefika pabaya. Nahitaji mtu mwenye uwezo wakunielewa husuani wa kisaikolojia. Mtu anayeweza kunipa msaada nivuke salama.
Sipo WhatsApp ila napatikana Telegram, Signal na IMO.
Wakuu nipo serious kabisa nahitaji msaada. Kidume nimezidiwa.
Kaza buti you are not alone in this world. Usione watu wanaamka wanaandika upupu humu ndani, hiyo ni kama therapy yao. Ukitoa vijana ambao hawana ajira, watu humu wanaona watoe anxiety zao kwa kuazisha nyuzi au hata kutukana kama inawasaidia.Nimechukua likizo kwa sasa angalau nijiweke Sawa. Dishi limeyumba vibaya mno. Ila nashukuru walionifikia kwenye jukwaa hili naona wamenipa mawazo na ushauri mzuri.
Naanza kuona mwanga. Naamini nitasimama tena.
Kuielewa biblia inataka akili iwe huru , huyu jama tayari ana msongo wa mawazohuo ndiyo muda mzuri sana wa kusoma biblia na kumjua Mungu, maana Mungu peke ndiyo anawafanyie wepesi wenye mizigo iliyowaelemea
Kaza buti you are not alone in this world. Usione watu wanaamka wanaandika upupu humu ndani, hiyo ni kama therapy yao. Ukitoa vijana ambao hawana ajira, watu humu wanaona watoe anxiety zao kwa kuazisha nyuzi au hata kutukana kama inawasaidia.
Mimi nimeona wenzetu walioendelea, madaktari wanawapa Cannabis kuondoa stress au watu wenye vifafa wanapewa hiyo Cannabis. Sasa hivi UK wanataka kujaribu kusaidia wale ambao wamepata Covid 19 na imechelewa kuwatoka wanataka wawape hiyo ila inakuwa medical observed na inakuja kwenye vidonge siyo misokoto.
Ni kweli hahahhahaKuielewa biblia inataka akili iwe huru , huyu jama tayari ana msongo wa mawazo
Trust me hatoelewa kitu
Sent from my RMX3085 using JamiiForums mobile app