Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,433
- 191,756
Pole sana mzee ungesema mapema sasa mkuu dah noma kweli!I lost my dad recently, I again lost a close friend, plus some other issues. Zimenikamata vibaya mno.
Pole sana mzee ungesema mapema sasa mkuu dah noma kweli!I lost my dad recently, I again lost a close friend, plus some other issues. Zimenikamata vibaya mno.
Kana floor?Wewe
shida yako hujasema Nini kimekupata unatuchelewesha kukutaftia saikolojist mkuuMapenzi hayawezi kunisumbua kiasi hicho kwa umri huu. Never
Pole sana mzee ungesema mapema sasa mkuu dah noma kweli!
shida yako hujasema Nini kimekupata unatuchelewesha kukutaftia saikolojist mkuu
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Dah nomaUnfortunately inaonekana siku process vizuri kifo cha na gap aloniachia ukizingatia yeye ndo alikuwa meneja wa miradi yangu huko bush. Ile sijatulia napata taarifa ya kifo cha mshkaji wangu wa karibu sana. Yaaani mtu ambaye nilikuwa naye free kuongea kitu chochote na alikuwa ananisikiliza ipasavyo.
Kwa kifupi, nimepigwa na kitu kizito mnoooooooo
Siwezi fatilia Natakiwa kupata tatzo lako kwenye bandiko Linda muda mkuu,niaze kufatilia nyuzi zoooooote ili nijue kinachokusibu akati bandiko lingemaliza Jambo...samahani tunatofautianaFuatilia mjadala mkuu
Dah noma
Kweli mzee baba,,,pole mkuu ila tuliza akili kwanza mkuu mambo hayo ameumbiwa mwanaume sababu yupo strong sana.
Nawasalimu wana jukwaa!
Kihisia, akili na saikolojia nimefika pabaya. Nahitaji mtu mwenye uwezo wakunielewa husuani wa kisaikolojia. Mtu anayeweza kunipa msaada nivuke salama.
Sipo WhatsApp ila napatikana Telegram, Signal na IMO.
Wakuu nipo serious kabisa nahitaji msaada. Kidume nimezidiwa.
Tafuta bangi uvute mzee, utanishukuru baadae
Anzisha msg kwa jina langu.Na nimeshindwa kukujibu moja kwa moja
Aisee hivi watu hamuwazi nje ya Box?? Tukiachana na mapenzi kuna vitu vinatibua akili na sio kwamba ni shida ni hali tu ya akili .
msithubutu kukutwa na hio hali ya akili kukuchezea shere, unaweza hisi humalizi nusu saa unadata, muda wote unakua una mashaka mashaka tu kana kwamba kuna jambo baya linataka kutokea.
Unaishi kwenye jela ambayo huwezi kujitoa... Usithubutu kukutwa na Msongo wa mawazo na Hofu
pole sana mkuuWewe naona ni mmoja wa wachache wanaolewa hali nayopitia.
Huna fantasy zozote ambazo unaweza zipa kipaumbele kwa wakati huu wa mpito?Ahsante sana. Kidume nimepoteza ramani kidogo. Naona kama dishi limeyumba
Pole sana mambo yatakua sawa ndugu.Unfortunately inaonekana siku process vizuri kifo cha na gap aloniachia ukizingatia yeye ndo alikuwa meneja wa miradi yangu huko bush. Ile sijatulia napata taarifa ya kifo cha mshkaji wangu wa karibu sana. Yaaani mtu ambaye nilikuwa naye free kuongea kitu chochote na alikuwa ananisikiliza ipasavyo.
Kwa kifupi, nimepigwa na kitu kizito mnoooooooo