I am mentally breaking down, I need someone to talk to urgently!

DALA

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2009
Posts
2,259
Reaction score
4,691
Nawasalimu wana jukwaa!

Kihisia, akili na saikolojia nimefika pabaya. Nahitaji mtu mwenye uwezo wakunielewa husuani wa kisaikolojia. Mtu anayeweza kunipa msaada nivuke salama.

Sipo WhatsApp ila napatikana Telegram, Signal na IMO.

Wakuu nipo serious kabisa nahitaji msaada. Kidume nimezidiwa.
 
Tafuta bangi uvute mzee, utanishukuru baadae
 
Nawasalimu wana jukwaa!

Kihisia, akili na saikolojia nimefika pabaya. Nahitaji mtu mwenye uwezo wakunielewa husuani wa kisaikolojia. Mtu anayeweza kunipa msaada nivuke salama.

Sipo WhatsApp ila napatikana Telegram, Signal na IMO.

Wakuu nipo serious kabisa nahitaji msaada. Kidume nimezidiwa.
Nyege hizo mkuu tafta malaya upunguze mzigo mwilini na akilini
 
isije kuwa namna ya kutafta hela
 
Sijawahi kuvuta na sitarajii kuvuta ndumu! Ni suluhisho la muda mfupi sana.
Acha uzembe piga ndumu, inachangamsha akili, utajiona kuwa huo unaofanya ni ufa_la, kulia lia ni mambo ya kike kike, kitoto kitoto, mwanaume always anaweza kutatua matatizo yake mwenyewe, mwanaume anatakiwa kuwa [emoji123][emoji123]
 
Wewe
 
Back
Top Bottom