hatari...nashukuru Mungu hii michezo ya kamari nimeacha zamani sna toka kipindi nipo shule...tena zile kamari za korokoro unaweka mia,miambili nk..kuna siku nilipita maeneo ya buguruni chama,kuna chimbo flani hivi yale maeneo bado wanachezesha hizi korokoro...nilipoona tu nikatoka nduki nisije kushawishika nikarudi nlikotoka.
dhamiria kuacha kwa udhati,hakika utaweza na kikubwa epuka mazingira shawishi..
Nakuhurumia ila ni ujinga wa kujitakia.
Watu wengi wanapoteza dira ya maisha yao because of wanting cheap and quick success.
Maisha hayako hivyo dogo, try to be real, hayo maisha mimi siwezi na sitaweza.
Nasubiri thread ya waliolizwa na forex ....... mtu unaambiwa kabisa "*invest money ambayo upo tayari kuipoteza"* afu mtu bado tu unatrade !!!!!! Hongereni kwa mnaoweza chukua such riskyyy
Ooooh maskini,Am sorry!Addiction is like a disease aiseee!!!Jitahidi kuwa mkweli kwake,anaweza kukusaidia sana!Uzuri ni kwamba umekubali wewe ni 'addict' na umekubali kosa,so be open to her too!You will disappoint her but all in all,sababu anakupenda naamini mtaongea na atakusaidia!May God bless and lead you!