I am loosing it

Umeandika kiswanglish na hapa pia umepoteza!
 
Pole sana kwa kuwa rahibu wa kamali hizi, jitahidi sana kukubali kuwa umepoteza, usiwaze kwa kujuta ulipo kosea bali waza kwa lengo la kujifunza, usitake kuzikomboa ambazo zimepotea kwenye kamali bali zitafute nje ya kamali, jitahidi ule mda unaoutumia kwenda kubet basi huo mda jilazimishe ingia ndani, shika vitabu vinavyoelezea maisha, hadithi na kadhalika anza kusoma, usikaribie yale mazingira ya kamali, wakwepe marafiki wa mienendo hizo na kisha mshirikishe Muumba wetu naamini unaweza kushinda tatizo hili.
 
unanichanganyia ngeli na kiswahili unanipa mtihani bhana.... wengine ukugusa ngeli tunarudia kusoma mara nne ndo tuelewe!!!!
 
Kubet na punyeto hakujawahi kumuacha mtu salama,sina ushauri mkuu,
 
Pole mkuu jitahidi ukiwa na NIA madhubuti ya kuacha utaacha kila kitu kina ugumu ila kwa bidii kinawezekana. Am sure utaweza
 
Haaa!
Umeacha au Umepumzika?
 
Pole sana!
Hatua ya kulikubali tatizo ni njia hatua ya kwanza kuelekea uponyaji.Fanya kama kupoteza laptop ni kutoa sadaka!Just let it GO!

Sijawahi kucheza kamari hata ya sh.mia!Hela ngumu,lakini napoteza pesa kwa namna nyingine,inauma!
 
Nakuombea Mungu akusaidie uache asee inaonekana ni pepo hilo ukiliingia huwezi kuacha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…