We ni miongoni mwa watu ambao hawajaelimika hata kidogo! hauna lolote unaloweza kunishauri ni bora ungenyamaza tu! katika mada hii matusi yametoka wapi! nilichokuandikia ni kwamba niko tayari kwa interview yoyote wewe unacho jaribu kunilaumu na kunitukana ni kipi? watu wenye shule hawako hivi! elimu uliyonayo kama unayo haijakusaidia! try to be wise! ulikuwa unanifunza nini ili nijifunze! acha ujinga!mmmmmh..zipo sehemu nyingi za kujifunzia kuboresha kiingereza chako, nadhani hapa si sehemu sahihi. na ulivyo fedhuri na bedui unashupaza shingo eti huoni tatizo na hiyo lugha yako chafu eti kiingereza. mtu muungwana ni yule aliye tayari kujifunza.
ninachotafuta si ajira! niliuliza sehemu ya kufundisha kwa muda! ajira kwangu ni given! lakini watu wanaongea yao kama vile wao ni wataalam sana katika field zao nani asiyewajua wafanyakazi wa nchi hii! siogopi na wala sijidharau hata kidogo! najiamini na naweza kusimama nikachallengiana na yeyote.Kumbe bado hata hujahitimu masomo wee soma kwanza ukimaliza ndo utafute ajira mdogo wangu
It is difficult nearer to a camel crossing a hole of the sewinng needle for you to obtain a job of a kind if these lines are your serious grammatical sentences in the language you claim to teach.
haya maelezo yako hayana spelling errors kama wewe ni mtaalam wa kingereza!!! acha kujifanya much know ndugu yangu! huwezi kunihukumu kwa sentensi 2 nilizoziandika wakati na zako zina makosa yaleyale!
We ni miongoni mwa watu ambao hawajaelimika hata kidogo! hauna lolote unaloweza kunishauri ni bora ungenyamaza tu! katika mada hii matusi yametoka wapi! nilichokuandikia ni kwamba niko tayari kwa interview yoyote wewe unacho jaribu kunilaumu na kunitukana ni kipi? watu wenye shule hawako hivi! elimu uliyonayo kama unayo haijakusaidia! try to be wise! ulikuwa unanifunza nini ili nijifunze! acha ujinga!
We ni miongoni mwa watu ambao hawajaelimika hata kidogo! hauna lolote unaloweza kunishauri ni bora ungenyamaza tu! katika mada hii matusi yametoka wapi! nilichokuandikia ni kwamba niko tayari kwa interview yoyote wewe unacho jaribu kunilaumu na kunitukana ni kipi? watu wenye shule hawako hivi! elimu uliyonayo kama unayo haijakusaidia! try to be wise! ulikuwa unanifunza nini ili nijifunze! acha ujinga!
usiwe mbishi wewe,hujaona makosa kwa sababu hujui, wewe utakuwa muha bila shaka
........ninyi ndo mko nondo baraa! ?...... yes I am in need but with confidence....... makosa niliyoyafanya ya lugha ukiyasikia kwa mheshiwa rais utamwambia aondoke madarakani!!
mtu hata akifanya makosa haimaanishi anastahili kudhalilishwa, tunatakiwa kuzingatia utu wa mtu kwanza kabla ya kuanza kumshambulia kwa maneno ambayo yako nje ya mada aliyouliza! mi nilisema nikotayari kwa interview bado natukanwa tu naambiwa sifai hata kidogo!!!!! kanakwamba ninyi ndo mko nondo baraa! siwezi kunyamaza! yes I am in need but with confidence. mtu hawezi kuninyanyasa nikakubari. makosa niliyoyafanya ya lugha ukiyasikia kwa mheshiwa rais utamwambia aondoke madarakani!!