Miss Precious
Member
- May 1, 2017
- 46
- 77
Kama Amekosea correct her, ukimcheka itamsaidia nini?eti "I posses excellent inter personal skills " kiingereza cha wapi hicho ndugu hahaaaa
hivi computer knowledge inayotakiwa kwenye shughuli za procument and logistic management ni hiyo tuu!My Professional Skills.
*Computer software
Microsoft Word
Microsoft Excel
Nakuunga mkono aisee...hii tabia ya kuchekana sisi kwa sisi ndio maana hatuendelei, amecheka halafu hajatoa suluhisho nini maana yake sasa! Ifike wakati tupendane sisi kwa sisi ili tuweze kusukuma gurudumu la maendeleo! PeriodKama Amekosea correct her, ukimcheka itamsaidia nini?
Word.Nakuunga mkono aisee...hii tabia ya kuchekana sisi kwa sisi ndio maana hatuendelei, amecheka halafu hajatoa suluhisho nini maana yake sasa! Ifike wakati tupendane sisi kwa sisi ili tuweze kusukuma gurudumu la maendeleo! Period
word.Nakuunga mkono aisee...hii tabia ya kuchekana sisi kwa sisi ndio maana hatuendelei, amecheka halafu hajatoa suluhisho nini maana yake sasa! Ifike wakati tupendane sisi kwa sisi ili tuweze kusukuma gurudumu la maendeleo! Period
Quick replay
eti "I posses excellent inter personal skills " kiingereza cha wapi hicho ndugu hahaaaa
Mkuu tujitahidi tu kukidumisha na kukienzi Kiswahili chetu na hiki Kiingereza tuwaachie Wenyewe Waingereza. Hapo uliposema Quick replay ulitaka kumaanisha nini labda? Probably ulitaka kusema Quick reply Mkuu. Tukipende tu Kiswahili chetu na ' tusijitese ' kung'ang'ania Kiingereza ambacho Kwetu ni sawa na adhabu.
Mi mwenyewe nilikopi tu hapa hapa kwani maanake nini hiyo quck reply mkuu samahani lakiniMkuu tujitahidi tu kukidumisha na kukienzi Kiswahili chetu na hiki Kiingereza tuwaachie Wenyewe Waingereza. Hapo uliposema Quick replay ulitaka kumaanisha nini labda? Probably ulitaka kusema Quick reply Mkuu. Tukipende tu Kiswahili chetu na ' tusijitese ' kung'ang'ania Kiingereza ambacho Kwetu ni sawa na adhabu.
Ina mana wewe ndo unajua kingereza sana ..bas ungekaa marekani kama vipi na kumkebehi ama kumcheka haisaidii lolote,,eti "I posses excellent inter personal skills " kiingereza cha wapi hicho ndugu hahaaaa
Mi mwenyewe nilikopi tu hapa hapa kwani maanake nini hiyo quck reply mkuu samahani lakini
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Kuna jamaa apo juu kasema na wewe eti hujuiUmerudia tena ' Upumbavu ' ule ule. Nini maana ya ' quck reply ' kama ulivyoandika hapo. Usitake ' Bundesliga / Ligi ' na Mimi kwani ' utaumia ' tu.