19 records studio
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 421
- 1,085
Njoo tusagane
Thats purely evil thought
Mchungaji Illovo huyu naye ana pepo gani linalotolewa kwa maombi yapi vile?....
Kwa mtindo huu kuipata pepo kweli kazi!
Unajua mara nyingi ushauri wa wabongo Wengi huwa hausaidii.Feeling bongo, una laana wewe nenda kajiuze pale Meeda upunguze laana...
dah nilikuwa siamini kama kuna maboya kama haya hapa duniani..sasa nimeamini...mpuuzi wahed Alishakutafuna?It is just me and my bro in my family. We grew up together went through the same schools ingawa amenizidi 2 years. Alivyomaliza 0-level akaniacha kwenye hiyo shule.
Akawa anataka kwenda another school A-Level nilihitaji aendelee in the same school but haikuwa hivyo. I developed feelings for him since na sijawahi kumwambia na baada ya mimi kumaliza chuo ndio feeling nae zikazidi.
He is so cute yaani nampenda more than a bro, kuna mda nipo kwenye relationship I don't even feel it, cha ajabu yeye anafurahia na GF wake na hajui kiasi gani naumia. Sina raha nikimuona na mwanamke mwingine.
Najua hawezi kunioa mimi, lakini kwanini dunia haipo fair? Mbona watoto wa Adam and Eve walioana, hata Isack alimuoa Rebecca ndugu yake, sasa anataka kuoa ndio ananimaliza kabisa.
Jamani naombeni mnishauri kuhusu hili tatizo
Lord have mercy....Njoo tusagane
Nilale mchana?Hulali jomoni...
![]()
![]()
Unajaribu nini mkuu?![]()
![]()
![]()
Najaribu tu ila sijawahi.
Mkuu mambo!!![]()
![]()
![]()
Najaribu tu ila sijawahi.
Imezuiliwa kisheria.It is just me and my bro in my family. We grew up together went through the same schools ingawa amenizidi 2 years. Alivyomaliza 0-level akaniacha kwenye hiyo shule.