I am Gonna Marry You...........


Tena sukari guru inatengenezea hadi gongo....
ukiweka kwenye chai hihitaji hata majani wala mchaichai....
 
Tena sukari guru inatengenezea hadi gongo....
ukiweka kwenye chai hihitaji hata majani wala mchaichai....

Tena nini!

Mtoto alomkataa Sikonge the Nyamwezi boy kala hasara mbona!
 
Sikonge, ulikataliwa na 'mtoto?'....
Yep, ila ni siku nyingi sasa. Nilikuja pata mwingine na maisha yanaendela MSWANO sana. Ugali wa Mhumba (wagogo wanasema aka Wa Pumba) kwa Mlenda, maisha ni kama sanduku la mwanafunzi la SUMATA, yaani sukuma maisha taratiibu.


Gaijin, i wish ningelikuwa na kipaji ya kushusha mistari.

Ila wengine acha tubaki wasomaji na wasikilizaji. Ngoja nimpigie simu dada yangu huko Mwanza kaniandikia PM kuwa mgonjwa.

Nawaacha jamani, ntarudi baadaye.
 
Sikonge msalimie mgonjwa namtakia afya irejee uzuri haraka!

SUMATA ni lile sanduku la bati fomu wani wanaendaga nayo shule?
 
nimekipenda sana iko cha kike ila cjui kama kinajua kinasema nn mana loh!
 
Bht, nimeongea na mgonjwa na afya yake inaendelea vizuri. Kwa sasa kapata nafuu na nimemwambia kuhusu hii makala JF basi kawasha Laptop na kuingia kuisoma. Ila sidhani kama atakuwa mchangiaji zaidi ya kusoma.

Hivyo, endeleeni tu kuandika maana yupo hapa JF anapitia tu mashairi na mistari yenu.

Sikonge msalimie mgonjwa namtakia afya irejee uzuri haraka!
 

Afadhali shem kama anaendelea vizuri basi hata wewe utapata wepesi....
Hapa mistari itapatikana tu kwa uongozi wa mkufunzi Gee...

Hujanambia juu ya sanduku la sumata....
 
Hakuna jingine shemeji. The one and only one one, SUMATA. Lilituokoa sana wengi wetu enzi hizo.

Halafu leo eti unaenda kwenu na SAMSONITE na kujione Baab Kuubwa, kumbe umetokea kwenye SUAMATA.

Ila Mchaga alikuwa anakuja Mazengo na Sanduku la Bati, tena bati hata rangi halijapakwa, KHAA!!!!!!

Anyway, hata nao, waliSUkuma MAisha Taratibu - SUMATA.
SUMATA ni lile sanduku la bati fomu wani wanaendaga nayo shule?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…