I am finished, nifanye nini?

I am finished, nifanye nini?

ha ha ha wacha weee kijana wangu una maneno matamu kama tende
nipogo, long time sijakuona!!!

yani kila tukimeet nikikuona tu ulivyo umbika kiutamu moyo wangu hucheza kiduku... gutu gutu gutu gutu! mwanamke lainiiii ata kubonyeza remote huwezi. Nakupenda sana wewe auntii, walahi lazima nikuzalishe watoto mapacha!

Nipo jimama langu classic, nilikuwa chimbo kidogo kusaka chapaa ili nami nianze kukuhonga, sio daily wewe kunihonga mimi tu, nakosa full confidence bhana. Afu I want to gift u today for my long disappearance, let the inbox do it all. Mahaba niteketeze mie kwa huyu mmama, yeye ndo orijino wengne wote feeeekii!! :smile-big: :redface:
 
Duh mkuu ungemaliza wote coz umshapitia wote ila adhabu wale 0713#
 
yani kila tukimeet nikikuona tu ulivyo umbika kiutamu moyo wangu hucheza kiduku... gutu gutu gutu gutu! mwanamke lainiiii ata kubonyeza remote huwezi. Nakupenda sana wewe auntii, walahi lazima nikuzalishe watoto mapacha!

Nipo jimama langu classic, nilikuwa chimbo kidogo kusaka chapaa ili nami nianze kukuhonga, sio daily wewe kunihonga mimi tu, nakosa full confidence bhana. Afu I want to gift u today for my long disappearance, let the inbox do it all. Mahaba niteketeze mie kwa huyu mmama, yeye ndo orijino wengne wote feeeekii!! :smile-big: :redface:
mwaaaaah nshakutumia namba yangu ya m-petha
 
Kuna kanuni moja inasema:-
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu.
Hapa kachemka

huyo hajachemka ila zamani alukuwa dem sasa kuna mabaliko yalitokea kwenye mwili akawa njemba tena iliyooa
 
Back
Top Bottom