I am dilemma in this issue, I need your advice

Unaomba ushauri upi ndugu, kumuoa? Au kujiridhisha kama mimba ni yako?

Vyovyote itakavyokuwa, hakikisha unamlea huyo mtoto na pia hakikisha mama yake anaridhika na maamuzi yeyote unayochukua juu yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Like I said she is older than me by 3 years and she has two kids back at home plus the one in question I fear she may interfere with my future

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well said DUMU
 
Yawezekana story Ina mantiki ndani na uzito ndani yake, Ila hiyo lugha sijui naionaje onaje kwenye uzi wa MMU?
 
After sexual penetration with her, what did you expect to be the outcome in the end ? As you enjoyed the night acts with her, same pleasures you should feel whilst taking care of what seems to be yours.
 
we are very busy with corona, but as a man and you know what you did be ready to feel the Consequences
 
dogo....umekula mzigo wa babako...!!!!..kwa umri wako nadhani jifunze PUNYETO, utaepuka mengi sana till u get married....zingatia masomo.....hiyo mimba sio yako....ametumia advantage ya mtoto wa boss....
 
Hivi huyu alikuwa anatumia lugha wkt wa kudanga? Wakati wa kugonga hajaomba ushauri amemjaza anataka ushauri leo mtoto msaidie mwenzio kuitwa baba raha asikuambie mtu ila majukumu ni issue pambana tu! Alafu aturudishe kwenye kimakuwa huku anatuchanganya tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
For that long story by little bit try to convince your momie that you invest pregnantie without dedication my friend if steel love her do you best bring back your sweat maid for child sake
 
at once was nice, sweet and good to you now ur f*cked up with ur emotional foolishness. take it jombii
Sent using Jamii Forums mobile app
 
ENDELEA kumtumia hela..Sasa ulitegemea Nini ulivyokua unazini na Dada wa kazi. Hakikisha mtoto hakosi maitaji yake.

Hiyo Miaka mitatu aliokuzidi sio mingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…