Mimi nakaa jet lumo kiwalani, nyumba ninayoishi ina vyumba vitatu vya kulala vikubwa, sitting na dinning room, self contained, gate lenye parking ya kutosha nalipa sh 170,000 mwezi, rafiki yangu anaishi sinza kwenye kikorido na kijichoo na kijisitting room analipa sh 180,000 kwa nyumba hii hii ninayoishi, sinza ingekuwa si chini ya laki saba, sasa hapo kwa choices zako utamlaumu nani.