Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 19,983
- 41,240
Kaka salamaleko uhali gani nakusalimia ndugu yangu unaendeleajePole mama ila sasa lugha mama ,lugha ,nambie kwa kiswahili kama amekupiga hata usiku sema uko wapi ikiwezeakana uje usaidiwe ,haiwezekani siku yenu haijaisha vizuri alafu jinga atake kukuumiza .
Wahi dada niko nakula daku nijiweke sqwa kukusaidia ndugu
Kaka niko salama kabisa ,sio kawaida kukuona usiku huu kuna heri huko ?Kaka salamaleko uhali gani nakusalimia ndugu yangu unaendeleaje
Kaka your back ulipotea SANAAAAAA naku salimia upo poa ndugu yangu..*** OFF BITCH
Kuna kheri kaka, siku hazilingani Huku dar mvua mvua..Kaka niko salama kabisa ,sio kawaida kukuona usiku huu kuna heri huko ?
Anhaa sawa sawa kakaKuna kheri kaka, siku hazilingani Huku dar mvua mvua..
Wife Kani amsha nimsaidie kubembeleza mtoto now ka baby Kame lala..
Nikaenda kwa fridge nikachukua konyagiiii ndogo ilibakia nusu ndio nimeimalizia hapa
Mwanaume wakumuabide mwanaume mwenzie ni kupoteza ubingwa.Does he abide in Jesus Christ?
Manena, ndugu yako ni huyo mpwa wako mzuri kuliko wewe.Nyie wote udugu wangu, haya mnagombania nini? 😹😹😹
Mzee huchezi mbalii😂🙌🏾Naishi 10 Downing Street, karibu kabisa na PM wa hapa UK ila hiki kiingereza kimenitoa nishai.
Si kweli. Kitendo cha kukaa ndani ya Kristo Yesu ni kutangaza Ubingwa duniani na mbinguni. Ni zaidi ya ushindi. Kutarajia UPENDO kutoka kwa mtu ambaye UBINAFSI haujang'olewa na Kristo Yesu moyoni mwake ni kutarajia kuvuna Mahindi mahali palipopandwa maharage!Mwanaume wakumuabide mwanaume mwenzie ni kupoteza ubingwa.
Unadeka kupitiliza kawaida ingawa sio mbaya kwa mtoto wa kike. Ruhusu utulivu mambo yatakaa powa kwa maelezo zaidi njoo PM tusolve tatizoHis behavior attitude sharpness entution capacity strongness fitting responsibility oneness idealistic mentality to me, occasion immunity establishment psychology numeration enjoyment moment of time with me, distinguished omminion stylishment Westinghouse, constable consignment innovative and creativity in this house is no more, please help
Tumuite Nesi au tufanyaje mkuu maana tukifanya upasuaji majumbani tunafukuzwa kazi na kufunguliwa mashtaka ya jinai mkuu unataka tukufanyaje? Calm down expiry slowly, okayHis behavior attitude sharpness entution capacity strongness fitting responsibility oneness idealistic mentality to me, occasion immunity establishment psychology numeration enjoyment moment of time with me, distinguished omminion stylishment Westinghouse, constable consignment innovative and creativity in this house is no more, please help