HYPOCRISY: Saudi Arabia bans muslim immigrants, world silent. Trump bans, world explodes!

HYPOCRISY: Saudi Arabia bans muslim immigrants, world silent. Trump bans, world explodes!

Cicero

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2016
Posts
2,924
Reaction score
3,077
Such is the world we live in.
Saudi Arabia has been banning muslim immigrants all along yet no one ever dared castigate them. Leo iweje Trump kawagusa dunia nzima imelipuka?
I say.....go on Trump.....MAKE AMERICA GREAT AGAIN!
And Africans tujipange upya tuache kutegemea misaada. That time is gone!
 
Simba na simba wakipigana wakishambuliana wakauana siyi habari kubwa lakini simba akimshambulia binadamu wakapigana binadamu akafa au simba akauawa kwenye mapambano hiyo ni habari.
Mwanamke kwa mwanamke wakipigana wakaumizana siyo big news kama mwanaume na mwanamke wakipigana hicho kitendo kitaitwa unyanyasaji wa kijinsia.
Mzungu akienda shule flani ya Marekani akaua watu kwa kuwafyatulia risasi itasemekana alikuwa na matatizo ya akili na msongo wa mawazo lakini mtu mwenye asili ya kiarabu akifanya hivyo huo ni ugaidi.
Marekani kuzuia wahamiaji wa nchi hizo saba za Kislamu ni big deal kwa hata ambao hawana mpango wala ndoto ya kufika Marekani lakini Saudia na nchi nyingine wakifanya hivyo nobody cares.
The world is not fair...
 
Such is the world we live in.
Saudi Arabia has been banning muslim immigrants all along yet no one ever dared castigate them. Leo iweje Trump kawagusa dunia nzima imelipuka?
I say.....go on Trump.....MAKE AMERICA GREAT AGAIN!
And Africans tujipange upya tuache kutegemea misaada. That time is gone!
Hebu tupe ushahidi wa hii habari yako tupate pa kuanzia ...
 
Kuna Zaatar Camp iliyoko Jordan
Na wana mchango mkubwa sana kwa waliokimbia vita huko Syria

Wanawapokea kama ndugu na sio wakimbizi kwani wanawapa sheria na kuishi popote ili watafute kazi ikiwemo shule na matibabu bure.

Kiufupi wanapokea na kuwasaidia walipo
 
Hebu tupe ushahidi wa hii habari yako tupate pa kuanzia ...
Hivi hizo nchi saba tu ndio waislam peke yake duniani??
nyini mliopo huku umatumbini nanyi mmezuiwa? au mnalipuka lipuka kufata mkumbo nanyi muonekane mmeongea. Hiyo kitu alianza nayo G. Bush, Obama akaisaini, hiki CHUMA kinatekeleza mnapiga keleleee. sasa hivi mpaka mchina anajifanya raia wa Syria ili apate kuingia Ulaya au USA.
Tanzania mlifanya operation kibao za kamata kamata ya wahamiaji haramu/ Illegal immigrants(wasomali, Ethiopian mpaka mchina) hamkuinua hata pua kuwaisema serikali iwaache ni waislam au ni ubaguzi.
Acheni unafiki.

Viva Trump!!
 
Such is the world we live in.
Saudi Arabia has been banning muslim immigrants all along yet no one ever dared castigate them. Leo iweje Trump kawagusa dunia nzima imelipuka?
I say.....go on Trump.....MAKE AMERICA GREAT AGAIN!
And Africans tujipange upya tuache kutegemea misaada. That time is gone!

Listen HOJA HAINA MSINGI ..
HUWEZI KUSEMA MBONA Mugabe ana nyanganya mashamba ya wazungu hivyo na US nao wanyanganye mashamba ya Weusi !
huwezi kulinganisha wanachofanya Guinue ya Equator na US
HUWEZI LINGANISHA NCHI YOYOTE isiokuwa na Democrasia ya kiimla sawa na Nchi zenye misingi ya Kidemocrasia.
USA ni Taifa la WAHAMIAJI NA PIA NDIO KINARA WA DEMOCRASIA DUNIANI. NI WAO WANAO SISITIZA DEMOCRASIA DUNIANI ... NA HATA MISAADA YAO LAZIMA UFATE MASHARTI YA HAKI ZA BINADAMU..HATA SISI TUMESNYIMWA KWA AJLI YA ZNZ
HIVYO USA NI TAIFA LA MFANO NA WAO NDIO NDIO KINARA WA HAKI NA KULETA AMANI DUNIANI ...WANASIAMIA HUWEZI UKAFUNGA MIPAKA YAKO NA KUJENGA UKUTA....WATU HAWAELEEWI ..
SAUDI NI NCHI YA KIIMLA YA KIFALME HATA RAIA WAO HAWARIDHIKI..
 
Hivi hizo nchi saba tu ndio waislam peke yake duniani??
nyini mliopo huku umatumbini nanyi mmezuiwa? au mnalipuka lipuka kufata mkumbo nanyi muonekane mmeongea. Hiyo kitu alianza nayo G. Bush, Obama akaisaini, hiki CHUMA kinatekeleza mnapiga keleleee. sasa hivi mpaka mchina anajifanya raia wa Syria ili apate kuingia Ulaya au USA.
Tanzania mlifanya operation kibao za kamata kamata ya wahamiaji haramu/ Illegal immigrants(wasomali, Ethiopian mpaka mchina) hamkuinua hata pua kuwaisema serikali iwaache ni waislam au ni ubaguzi.
Acheni unafiki.

Viva Trump!!
[emoji16][emoji16][emoji16]wamatumbi hakuna anayejua imani yao halisi huwa ni mchanganyo tu kanisani,msikitini,kwa kalumanzira,inategemea na maslahi.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]wamatumbi hakuna anayejua imani yao halisi huwa ni mchanganyo tu kanisani,msikitini,kwa kalumanzira,inategemea na maslahi.

Mambo mengine tuwe tunakaa kimya yapite tuangalie ya kwetu.
Tuwabane viongozi wetu watwambie tunafika lini nchi ya ahadi na tunafikaje huko?
Leo hii tunashangilia kiwango cha elimu KUFAULU kimepanda halafu eti 2%. Tunapumbazwa na takwimu tuuu, na tunachekelea kama mazuzu. Mlete huyo aliyefaulu ajieleze hapa kuhusu jambo lolote kama hujazimia kabisa.
 
Mambo mengine tuwe tunakaa kimya yapite tuangalie ya kwetu.
Tuwabane viongozi wetu watwambie tunafika lini nchi ya ahadi na tunafikaje huko?
Leo hii tunashangilia kiwango cha elimu kimepanda halafu eti 2%. mlete huyo aliyefaulu ajieleze hapa kuhusu jambo lolote kam hujazimia kabisa.
Kisoda bana! Sa nizimieje wakati me mwenyewe ubongo wangu hauna ushirika na nafsi! Utasikia tu kapendeza, ni mzuri, kaja na bonge la vx basi siyo eti content me ninazo.
 
Back
Top Bottom