Hyena Square - Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hyena Square - Tanzania

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Sep 27, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Jamani hili eneo la uwanja wa fisi mpaka hii leo mambo haya ya Uzinzi yanaendelea?   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mzizi mkavu.
  Picha zako ubazorusha za video hazifunguki kwenye hii Galax s II.
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  inaonyesha hiyo Galax ya mchina nini mkuu Royals haya bonyeza hapa uione hiyo video Hyena Square - Tanzania - YouTube
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #4
  Sep 27, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Documentary kali kinyama only that kwenye kupeana majina ndio sijaelewa kwa mfano kama mtu anaitwa MziziMkavu hivi jina lake itabidi tukiongea kwa kiingereza tulibadilishe au libaki vile vile? Yaani Dried Root mmmhhh au zumbemkuu tumuite The BigLord? Au Tanganyika tuite Inlnad wailer?? Nadhani Filamu ibaki kuwa Uwanja wa Fisi
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #5
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Mkuu MziziMkavu .. hili tatizo sio Uwanja wa Fisi tu! ...

  Sehemu nyingi sana za uswahili mambo ya Uwanja wa Fisi ni kawaida tu!

  Na tatizo linazidi kukua sana katika jamii ya Kitanzania kutokana na ugumu wa maisha unavyozidi kuendelea.
   
 6. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #6
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Mkuu Elli unajua hili tatizo la watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu linazidi kukua siku hadi siku kwenye jamii yetu..

  Huyu Mkuu MziziMkavu kaongelea uwanja wa Fisi pekee ... lakini kwa ukweli tatizo hili lipo sehemu mbalimbali hapa Tanzania ... na linazidi kukua!

  Kwa kweli hii Documentary ni nzuri sana! ... wakati naanza kuiangalia sikutegemea kama ningeimaliza yote

  Maisha magumu yanazidisha tatizo katika jamii yetu ...
   
 7. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #7
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Mkuu MziziMkavu Je umeiona na hii ya South Africa?! ... haya mambo yapo na yataendelea kuwepo dunia nzima.

  So sad!

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...