Hydrogen ikichanganyika na sulphur inatengeneza gesi ijulikanayo
kama hydrogen sulphide,inaua mara moja
na ina uwezo wa kuua watu wengi maana haionekani
kwa macho ila mtu akivuta hiyo gesi anaanguka
na atakayekuja kumsaidia kwa kuwa haioni hatari kwa
macho naye anaivuta anaanguka,kwa ufupi ni hatari.
Lakini pia hydrogen inawaka kwa kulipuka
hivyo haifai kwa kupikia.