Mkuu kwa kutuweka sawa:
1. Hiyo laki 2 ni pamoja na mtaalamu?
2. Je mashine + mtaalamu wakikodiwa kwa siku unatoa guarantee watakamilisha tofauti gani?
Ukodishaji huu utakuwa wa maana endapo mlinganyo huu utakuwa sawa: [Kukodi (TZS200k)+udongo+cement+mtaalam+usafiri+maji + labour kumwagilia] <= [Bei ya kununua tofari zinazozalishwa kwa siku].
Umetuacha hewani, nahitaji hayo matofari, tusaidie kujibu maswali ya mutensa hapo juu.
Machine inafyatua matofari mangapi kwa siku? fundi analipwa kiasi gani? na je tofari lilitayari mnaliuza kiasi gani?