Greysonizzle
Member
- Feb 25, 2013
- 11
- 3
Habari za kazi Wakuu..napenda kuwasilisha taarifa nzuri na zenye mwelekeo wa kukuza tekinologia mpya katika ujenzi kwa kutumia tofali na mashine za hydraform.nomba kuwajuza kwamba now days limefunguliwa tawi jipya la kuuza mashine za Hydraform kwa hapa Tanzania hivyo hakutakuwa tena na haja yakuzifuata mashine hizo South Africa bali kupitia kwa tawi lao ambalo lipo Mbezi beach old bagamoyo road karibu na Rainbow Club au tembelea www.hydraform.com au wwww.newtontrust.co.tz ambao ni wakala wa hydraform kwa hapa bongo.pia wanauza matofari ya hydraform yenye uimara na ubora wa hali ya juu fika ofisin kwao kwa ushauri na maoni juu ya ujenzi nafuu na wenye kiwango cha hali ya juu.
asanten sana wadau..
Mkuu hapo kwa hao newtontrust sijakuta maelezo yoyote ya kuwa wao ni agent au wauzaji wa hydrafoam machines. Kama una catalogue inayoonesha available machines, specifications pamoja na pricelist nitafurahi ukinitumia hata kwa PM.
View attachment 85494
Huu ni mfano wa nyumba iliyojengwa kwa tofali madhubuti za hydraform but ukipata walaghai,matapeli wakakuuzia tofali zisizo za hydraform na kukugdanganya ni hydraform ujenzi wake utakuchukiza hakuna mfano..
View attachment 85492
What is the cost per sq.m. of finished wall? How many bricks are in a sq.m?(Just a reminder of benefits of using Hydraform blocks)Hii ni kwa wale mlio ni PM kutaka kujua faida za Hydraform haya ndio majibu yake unaweza punguza hadi 25 to 30% ya ujenzi kwa kutumia tofali hizi faida nyingine ni..
· Great thermo properties ( 3 times better than normal cement/sand blocks)· Low cost of construction· Blocks are load bearing- reducing the need of steel and concrete pillars · Strength: this can be proven from tests we regularly run on our blocks· Direct finish · Durability of the blocks · Beauty of the finished wall· Eco friendly – uses post consumer waste as raw material
If you have any queries, please do not hesitate to contact the office.