huzuni

Kuna bint nampenda sana lakini yeye haoneshi kunipenda mm je nifanyeje?
Mkuu yahya jumbe Unampenda kwa kumuangalia tu usoni?Mwambie ukweli kama unampenda halafu

msikilize atasemaje majibu yake* kama anakupenda atakujibu ngojea nifikiri lakini kama hakupendi atakujibu

hapo hapo sikupendi ndipo utakapojuwa kuwa hakupendi na unaweza kuja tena hapa ukapewa maarifa mengine

ya kumtongoza mwanamke. mwambie kisha uje hapa utupe Feedback.
 
Last edited by a moderator:
Mwendee kwa mganga MziziMkavu wa Jamii Forums, ana dawa za kienyeji za kuongeza mvuto wa mapenzi na za kusafisha nyota
Mkuu Nazjaz Mkuu karibu asilimia 99 ya Wa

Tanzania haswa Vijana hawajuwi kutongoza Mwanamke wanatumia sana Wanaume wa KiTanzania Kutongoza Mwanamke

kwa pesa, wanawake wengine hawataki kutongozwa kwa njia ya pesa wanataka utumie mdomo wako

kuwatongoza. Wanaume wa KiTanzania midomo yao mizito kutongoza Wanawake. Na Hakuna shule ya Kujifunza

kutongoza hapo kwetu Tanzania.Mkuu Nazjaz mwambie mkuu yahya jumbe akienda kuonana nae huyo

Mwanamke kimazungumzo awe nayo mfukoni mwake chuımvi kidogo aweke kwenye mfuko wake aifunge hiyo chumvi kama anavyofunga

Binzari kisha awe nayo mfukoni aanze kuzungumza na huyo mwanamke kwa nguvu ya chumvi mwanamke

ataweza kuregea kimapenzi na kumkubalia huyo mkuu yahya jumbe kisha aje hapa kutupa Feedback. Hiyo ni first idea.
 
Last edited by a moderator:
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom