HUZUNI

JMWAKA

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2012
Posts
739
Reaction score
654
Dunia imeshtushwa na picha Hii ya kuhuzunisha ya kijana wa miaka 4,aliekuwa akihama kutoka Syria kwenda Jordan. Maofisa wa UNHCR walikutana nae akitembea peke yake jangwani kutoka Syria akielekea Jordan. Kitu pekee alichokuwa amebeba ni mfuko wa plastic, maarufu Kama Rambo, ambamo ndani yake Mlikuwa na nguo za marehemu mama yake na dadake ambao waliuawa Syria. Maofisa hao wa UN Walishindwa kujizuia kulia... Ni huzuni kubwa sana... Kwa wenye watoto wanaelewa mtoto wa miaka 4 anakuwaje... Sasa fikiria kitoto hicho kinatembea jangwani peke yake.. Eee Mungu tunaomba amani. Vita visikie tu kwa jirani yako...
 
Hayo mambo afrika tumeshazowea Sudan, Somali, Congo, Afrika ya kati, Libya na Nigeria. Kinacho sikitisha mleta vita ndio anae jifanya kusononeka kwenye tv. Lakini anaendelea na kuwauzia silaha. Syria haina kiwanda cha silaha suali:- hizo silaha wanazitolea wapi? Nani anawapiganisha? Nilipokuwa mdogo kulikuwa na watu wanapiganisha Kuchi mmoja wao
akishindwa na kutoka damu utasikia oohh masikini ameumia. Halafu unasikia hapo hapo akisema wiki ijayo anamleta tena kuchi wake kupigana haya ndio kama ya Syria.
 
Hayo ni maagizo yaliyo sukwa na white Helmet, sijui kwa nini baadhi ya watu wana amini propaganda za kijinga.
 
mungu i bariki syria urus na marekan mungu anawaona
 
Just an angel who unexpectedly and accidentally met three people in the wilderness!
 


Inawezekana ni kweli na inawezekana pia kuwa siyo kweli...inaweza kuwa imekuwa staged na western media for propaganda purposes...Western media media ziliwahi kufanya hivyo kwa watoto wa syria ikidaiwa wamelipuliwa na gesi ya sumu kutoka kwa majeshi ya Syria, baadhi ilibainika siyo kweli....Marekani na nchi za magharibi zimefanya unyama mkubwa katika mji wa Mosul, huko Irak lakini huwezi kuona picha za mateso ya wananchi wa Mosul...
 
Acheni kupost kila uchuro Wa wazungu . huyo hakuwa peke yake alikuwa na kundi kubwa sana ...
Kwanza angalia vivuli hvyo halafu mtoto mdogo huyo atajuaje njia kwamba anakoenda ni Jordan?

Tusiwe mangubaru Wa kupost uchuro kila wakat
 
There is soo much behind the photo

He is clean, strong and nothing around him... how did they know where he was heading

Propaganda
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…