Huzuni Kuu

maskini! inauma jaman kuondokewa na mke/mume! Mungu ampe nguvu kwakwl
 
Dah Hakuna wakati mzito kama kufiwa na mke wako aiseeeeee.. Pole sana kwa waziri!
 
Chuki ya Chama tawala kwa wapinzani walianzisha wao kususia msiba wa Ndesa sasa unawafusia wao
 
Hakuna kitu kigumu kama kuondokewa na mpendwa wako.
Kuna kipind inaweza kwenda maeneo ambayo mlikuwa mnashinda naye unaweza kuhisi kama utamuona.. Inauma sana.
R. I. P mama.
Pole sana Mwakyembe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…