Huzuni kuu ya CHADEMA baada ya tarehe 25 Oktoba

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,400
Reaction score
31,909
Huzuni iliyo kuu kwa upande wa CHADEMA baada ya uchaguzi sio kukosa kiti cha urais kwani hili wanalijua wazi.

Huzuni ya CHADEMA itakuwa kwenye matokeo ya ubunge.

CHADEMA iliwekeza kampeni zake kwenye Urais yaani ilifanya kila kitu kusafisha sanamu la tope bila mafanikio na bahati mbaya sanamu hili la tope limeshindwa sio tu kujiuza lenyewe bali hata wagombea wa ngazi za Ubunge na Udiwani.

Mbaya zaidi wakati mgombea wao anaahidi kuwalipa wenyeviti wa vijiji ameshindwa kuwapa wagombea ubunge na udiwani fedha za kampeni pamoja na harambee zisizokuwa na mrejesho.

AND THE WINNER IS ....CHAMA CHA MAPINDUZI...TZ DECIDES 2015!
 
Tusisikie vilio humu tunataka ukimya kama tulivyochinja pale dodoma
 
Huzuni iliyo kuu kwa upande wa Chadema baada ya uchaguzi sio kukosa kiti cha urais kwani hili wanalijua wazi.

Huzuni ya Chadema itakuwa kwenye matokeo ya ubunge.

Chadema iliwekeza kampeni zake kwenye urais yaani ilifanya kila kitu kusafisha sanamu la tope bila mafanikio na bahati mbaya sanamu hili la tope limeshindwa sio tu kujiuza lenyewe bali hata wagombea wa ngazi za ubunge na udiwani.

Mbaya zaidi wakati mgombea wao anaahidi kuwalipa wenyeviti wa vijiji ameshindwa kuwapa wagombea ubunge na udiwani fedha za kampeni pamoja na harambee zisizokuwa na mrejesho!!

.....AND THE WINNER IS ....CHAMA CHA MAPINDUZI...TZ DECIDES 2015!!!!!!!!!!!!!!
Haya ndiyo maono uliyopewa kwenye ramli?
 
KUMBE I'd yako inaeleza kichwani mwako ukoje..halafu najiuliza sana kwanini wanaume wanao shabikia CCM wengi makalio Yao yamebinuka? Na walicheza hunyoosha kidole juu huku wakikata mauno? Jambo jingine utakuta mwanaume anakata mauno mbele ya mwanamke ambaye amelala flat-mende miguu juu huku, kanga kule chupi inaonekana ila mwanaume ukiangalia kunako uanaume wake Pako flat.. HATA hapajastuka Lakini wanaume marijali wote mikono wanatia mifukoni ila hawa wa ccm WaPo WaPo tu.. najiuliza sipati picha..
 
Ni huzuni kwa JK manake... Makamba wala Membe hawakupishwa. Ningekuwa mshauri wake nisingemweka JPM!
 
Huzuni iliyo kuu kwa upande wa Chadema baada ya uchaguzi sio kukosa kiti cha urais kwani hili wanalijua wazi.

Huzuni ya Chadema itakuwa kwenye matokeo ya ubunge.

Chadema iliwekeza kampeni zake kwenye urais yaani ilifanya kila kitu kusafisha sanamu la tope bila mafanikio na bahati mbaya sanamu hili la tope limeshindwa sio tu kujiuza lenyewe bali hata wagombea wa ngazi za ubunge na udiwani.

Mbaya zaidi wakati mgombea wao anaahidi kuwalipa wenyeviti wa vijiji ameshindwa kuwapa wagombea ubunge na udiwani fedha za kampeni pamoja na harambee zisizokuwa na mrejesho!!

.....AND THE WINNER IS ....CHAMA CHA MAPINDUZI...TZ DECIDES 2015!!!!!!!!!!!!!!

Leo mgombea wa ccm Dr Magufuli hakuhutubia jukwaan katika jimbo la misungwi zaidi ya kelele za wasanii.

Magufuli alifika na kupanda jukwaani lakini alipokuwa anatumbuiza fid Q tulishangaa kasimama na kuondoka bila hata kusalimia.

Jambo hili lilisababisha watu wazomee, na hata alipokuwa anaimba fid Q alizomewa pia na kundi la watu nyuma.

Sababu nilisikia kwa mbali kwani nilikuwa nyuma kwamba sijui anawahi kwenda wapi hukoo
 
Wadanganye waliokuwa hawapo.vip kule tunduma juzi jamaa alikuwa na haraka gani
 
KUMBE I'd yako inaeleza kichwani mwako ukoje..halafu najiuliza sana kwanini wanaume wanao shabikia CCM wengi makalio Yao yamebinuka? Na walicheza hunyoosha kidole juu huku wakikata mauno? Jambo jingine utakuta mwanaume anakata mauno mbele ya mwanamke ambaye amelala flat-mende miguu juu huku, kanga kule chupi inaonekana ila mwanaume ukiangalia kunako uanaume wake Pako flat.. HATA hapajastuka Lakini wanaume marijali wote mikono wanatia mifukoni ila hawa wa ccm WaPo WaPo tu.. najiuliza sipati picha..
Hili ni tatizo la kupokea mgao wa viroba
 
Back
Top Bottom