amilyroley
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 621
- 1,200
Wakuu. Hali ni mbaya kupita maelezo juu ya halo ya kisiasa ya Ndugu Mwakyembe jimboni Kyela. Anazomewa kila sehemu. Si vijana si akina so wazee wote wanamzoea kila apitapo. Wazee walimshauri asogombee na wakamuleza ukweli kuwa hali ni mbaya mitaani juu yake lakini akawaomba kuwa "niacheni nijaribu". Hali hiyo imepelekea Mwakyembe kukimbia jimbo na kujifcha Mbeya mjini ambapo Sugu anabebwa kama mfalme. Watu wametabiri aibu ya Marne juu ya mwakyembe... Hakanyagi tena jimboni kuanzia juzi na mpaka viongoz wa CCM wilaya wanamsusia kwenye sapoti ya kampeni. Bye bye mwakyembe
sasa kuchokwa kwa mwakyembe kyela kunahusiana nini na septemba 1 ? mwakyembe hatakiwi kyela january hadi desemba .Mwakyembe jembe wewe, tatizo ni kwamba mitandao imewapa Uhuru Wa kusema mtakavyo ila kuanzia sept 1, kesho kutwa tutaheshimiana hapa mjini!
Wakuu. Hali ni mbaya kupita maelezo juu ya halo ya kisiasa ya Ndugu Mwakyembe jimboni Kyela. Anazomewa kila sehemu. Si vijana si akina so wazee wote wanamzoea kila apitapo. Wazee walimshauri asogombee na wakamuleza ukweli kuwa hali ni mbaya mitaani juu yake lakini akawaomba kuwa "niacheni nijaribu". Hali hiyo imepelekea Mwakyembe kukimbia jimbo na kujifcha Mbeya mjini ambapo Sugu anabebwa kama mfalme. Watu wametabiri aibu ya Marne juu ya mwakyembe... Hakanyagi tena jimboni kuanzia juzi na mpaka viongoz wa CCM wilaya wanamsusia kwenye sapoti ya kampeni. Bye bye mwakyembe
Sidhani kama hii ni kweli!