Hayanaga mwongozo aisee. Hata uwe na matunguri vipi, kupigwa chini kuko pale pale tu, sometimes...
sometimes...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hayanaga mwongozo aisee. Hata uwe na matunguri vipi, kupigwa chini kuko pale pale tu, sometimes...
Ungejua sio mimi... Mhusika atakuja tuu na utamjua[emoji23]ukiachwa achika, move on. Sad qoutes za nini mganga?
Kweli mganga hajigangi. Uganga wa matunguli haufui dafu kwa hisia za mapenzi..
Hisia hazifutiki kamwe, kwa kuwa hazikuandikwa kwa wino wowote.
Hamisha pengine. Pale panapoonekana inathaminika. Hamisha makao yako mdogo mdogo na baadae akili itasettle.
Using'ang'ane kuzifuta kwa sababu utakuwa unazikoleza zaidi.
Kila la kheri.
[emoji3][emoji3][emoji3] mimi ni kiwakilishi tu mkuu nilishavuka hizi hatuaMkuu hadi wewe !!?
Hayanaga mwongozo aisee. Hata uwe na matunguri vipi, kupigwa chini kuko pale pale tu, sometimes...
Naona ushauza sangara kwenu huko umerudi kwa speed ya 5g[emoji1787]