gilldenu JF-Expert Member Joined Mar 25, 2015 Posts 2,914 Reaction score 3,025 May 30, 2018 #41 Vladimirovich Putin said: Acha kusumbua watu .... Sasa unataka nn ?? Ni x tayar..ilo niswali km yalivo maswali mengine.....weee unachotaka ninn?? Click to expand... Mkuu angekua karibu ungemtia Kofi...
Vladimirovich Putin said: Acha kusumbua watu .... Sasa unataka nn ?? Ni x tayar..ilo niswali km yalivo maswali mengine.....weee unachotaka ninn?? Click to expand... Mkuu angekua karibu ungemtia Kofi...
Carlos The Jackal JF-Expert Member Joined Feb 6, 2017 Posts 29,106 Reaction score 93,134 May 30, 2018 #42 gilldenu said: Mkuu angekua karibu ungemtia Kofi... Click to expand... Ningemfinya pua tu,nikaachana naye.
gilldenu said: Mkuu angekua karibu ungemtia Kofi... Click to expand... Ningemfinya pua tu,nikaachana naye.
Zikomo Songea JF-Expert Member Joined May 15, 2016 Posts 670 Reaction score 582 May 30, 2018 #43 Kanuni nyepesi ya mahusiano ni hii: ukiachana na mtu na umeshakubali kuwa hutaki kuendelea naye basi jiepushe naye moja kwa moja na uendelee na maisha yako. Zaidi ya hapo ni kurudi pale pale na hadithi zile zile.
Kanuni nyepesi ya mahusiano ni hii: ukiachana na mtu na umeshakubali kuwa hutaki kuendelea naye basi jiepushe naye moja kwa moja na uendelee na maisha yako. Zaidi ya hapo ni kurudi pale pale na hadithi zile zile.