Huyu wa kulia ni na ni...??

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,139
eti jamani
 
Attachments

  • 1433517101319.jpg
    32.7 KB · Views: 2,094
Marehemu Tumtemeke Sanga,alipotoka ughaibuni Mwl Nyerere alimuuliza ampe kazi gani,yeye akamweleza mwl kazi inayomfaa ni urais,kwanza yeye akidai ana uelewa mkubwa kuliko mwl,napia elimu yake ni kubwa kuliko mtanzania yeyeto kwa wakati huo,mwl alimuweka kizuizi cha kutotoka wilaya ya Makete kwa miongo kadhaa
 
Huyo bwana anaitwa Peter Onu na sio Tuntemeke Sanga kama mnavyotaja...

Peter Onu ni katibu mkuu wa zamani wa OAU (AU) mwaka 1983 - 85.

Na hiyo picha ilipigwa makao makuu ya OAU jijini Addis Ababa katika moja ya vikao vya wakuu wa nchi wa OAU.

Tuntemeke sanga

mwalimu alikua mbabe
 
kawatapeli sana wakinga kule makete
 
Huyo bwana anaitwa Peter Onu na sio Tuntemeke Sanga kama mnavyotaja...

Peter Onu ni katibu mkuu wa zamani wa OAU (AU) mwaka 1983 - 85.

Na hiyo picha ilipigwa makao makuu ya OAU jijini Addis Ababa katika moja ya vikao vya wakuu wa nchi wa OAU.

Ahsante, Ilibaki kidogo niwaite Joka kuu na Kichuguu waje watoe ufafanuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…