Kv-london JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 2,892 Reaction score 5,084 Aug 10, 2014 #2 Ana lake jambo mayb amemuona demu wake somewhr then haamin anayoyaona
M makubazi JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 2,047 Reaction score 365 Aug 10, 2014 #3 Mi naona kama shololo kwa sababu kavaa kapelo ya kukinga jua na miwani ya jua na bado havikutosha hadi na mkono lakini nikawaida ya vijana
Mi naona kama shololo kwa sababu kavaa kapelo ya kukinga jua na miwani ya jua na bado havikutosha hadi na mkono lakini nikawaida ya vijana
First Born JF-Expert Member Joined Jul 11, 2011 Posts 5,317 Reaction score 1,485 Aug 10, 2014 #4 amejisahau..
Congo JF-Expert Member Joined Mar 13, 2008 Posts 2,079 Reaction score 2,334 Aug 10, 2014 #5 Imenichukua muda kuelewa maana yake. Hongera.
N Ngekewa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 7,705 Reaction score 1,288 Aug 10, 2014 #6 utafiti said: View attachment 176558 Click to expand... Kwani vipi?
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 Aug 11, 2014 #7 Ndo kazia ya kutumia vitu bila kujua matumizi yake
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Aug 11, 2014 #8 Hajui tuzitumia fursaa.....pole yake
Mu-Israeli JF-Expert Member Joined Mar 21, 2012 Posts 2,454 Reaction score 975 Aug 11, 2014 #9 farkhina said: Hajui tuzitumia fursaa.....pole yake Click to expand... Ni kama viongozi wetu hapa TZ. Nchi ina raslimali nyingi, lakini hazitumiki. Kila siku tunakimbilia 'kutembeza bakuli' nchi za nje kuomba misaada.
farkhina said: Hajui tuzitumia fursaa.....pole yake Click to expand... Ni kama viongozi wetu hapa TZ. Nchi ina raslimali nyingi, lakini hazitumiki. Kila siku tunakimbilia 'kutembeza bakuli' nchi za nje kuomba misaada.
Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,255 Aug 11, 2014 #10 Mu-Israeli said: Ni kama viongozi wetu hapa TZ. Nchi ina raslimali nyingi, lakini hazitumiki. Kila siku tunakimbilia 'kutembeza bakuli' nchi za nje kuomba misaada. Click to expand... Sikubaliani na wewe, zinatumika kwa masilahi ya wajanja wachache!
Mu-Israeli said: Ni kama viongozi wetu hapa TZ. Nchi ina raslimali nyingi, lakini hazitumiki. Kila siku tunakimbilia 'kutembeza bakuli' nchi za nje kuomba misaada. Click to expand... Sikubaliani na wewe, zinatumika kwa masilahi ya wajanja wachache!
bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 Aug 11, 2014 #11 Huyu atakuwa anajinamizi la akili