S Spear_ JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 1,890 Reaction score 1,543 Jan 6, 2012 #1 Ikitokea unangalia mpira, dakika chache mpira kwisha mnafungwa halafu refa anashangia.... bonge la bao......bonge la bao.... utafanyaje?
Ikitokea unangalia mpira, dakika chache mpira kwisha mnafungwa halafu refa anashangia.... bonge la bao......bonge la bao.... utafanyaje?
Complicator EM Senior Member Joined Dec 20, 2011 Posts 155 Reaction score 39 Jan 6, 2012 #2 Ikitokea unangalia mpira, dakika chache mpira kwisha mnafungwa halafu refa anashangia.... bonge la bao......bonge la bao.... utafanyaje?
Ikitokea unangalia mpira, dakika chache mpira kwisha mnafungwa halafu refa anashangia.... bonge la bao......bonge la bao.... utafanyaje?
P Pure nomaa JF-Expert Member Joined Dec 10, 2011 Posts 1,158 Reaction score 1,388 Jan 6, 2012 #3 Nazima tv naenda kulala
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 Jan 7, 2012 #4 Kuna id humu zinanipa wasiwasi, subiri nizifanyie research nitarudi
bampami JF-Expert Member Joined Nov 5, 2011 Posts 5,700 Reaction score 4,126 Jan 7, 2012 #5 Wapi moderator wa ban? Watu hawafuati terms and conditions za jf!
DAWA YA SIKIO JF-Expert Member Joined Dec 8, 2011 Posts 978 Reaction score 184 Jan 7, 2012 #6 Kitaporomosha mitusi ya nguoni hadi nijishangae mwenyewe!!!