Yaanii..... hapo unakuta mume wake ndo amefumaniwa unajiuliza..... Sasa amekosa nini mwanaume huyu..... Unashangaa kabisaa. Mke mzurii labda tabia ndo iwe mbaya.... Ni binadamu wachache sana wameumbwa wazuri wa sura, muonekano, roho nzuri, moyo mwema, upendo wa kweli, waaminifu, watafutaji, wavumilivu, hawana hasira za haraka, muda wote wana furaha, sio wachoyo......et al.
Hapana nimetamani ningekuwa kama huyo mwanamke ili baby wangu afaidi utamu na mofolojia.....
Chizi wewe[emoji28][emoji28]Hapo ni kupiga ishara ya msalaba tu liwalo na liwe
Ananipa shida saaana[emoji35][emoji35][emoji34][emoji34]Atakufelisha au ww unataka kukimbia mtihani ??? Fanya mtihani huo ufaulu mambo yako yooote yatakuwa mukideee
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejuaje mkuu sijawahi kukosa pindi wala 80+Tena anapenda sana topic ya reproduction
Na unakuwa makini sana kumsikiliza na kumuangalia,huku ukipata mfadhaiko
[emoji23][emoji1677][emoji1677][emoji1677][emoji1677][emoji23][emoji23][emoji23] achaga dharauNa unakuwa makini sana kumsikiliza na kumuangalia,huku ukipata mfadhaiko
Hahahahah yeye mwenyewe ni mtihani wako wa kwanza ufaulu kwanza. Mpige saundi mzigo uwe wko kula na kushiba alafu endelea na mitihani mingine utakuja kunishukuru.Ananipa shida saaana[emoji35][emoji35][emoji34][emoji34]View attachment 1298480
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahah yeye mwenyewe ni mtihani wako wa kwanza ufaulu kwanza. Mpige saundi mzigo uwe wko kula na kushiba alafu endelea na mitihani mingine utakuja kunishukuru.
Sent using Jamii Forums mobile app