Huyu tapeli amewaumiza wangapi? kuwenu makini nae!

Huyu tapeli amewaumiza wangapi? kuwenu makini nae!

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,578
Reaction score
1,817
Habari, naitwa Mr. Raymond from BEAMSOFT COMPUTERS LTD Dar,
tupo kikaoni tunapitia CV tuchague candidates wa kuinterview for I.T OFFICER POST,
CV yako ni nzuri nataka kukusaidia upate hii kazi kwa terms zifuatazo,salary ni tshs 1,200,000/= kwa mwezi ukilipwa salary ya kwanza utanipa laki 3, na kabla ya saa 9 mchana uwe umetuma sh. elfu 35 by tigopesa to 0713-765442 ili nimpe mtu wa interview anipe maswali ntakutumia kwenye email, for now siwezi ongea mpaka badae nikitoka kikaoni na ndio muda huo utapigiwa simu lini uje for interview,
jitahidi utume mapema kabla ya saa 9.
 
Kizamani sana ila huu uzi ulisha letwa tena hapa wanajamvi kuweni makini
 
Yaani bado wanatumia sms hii? Wao wanachofanya ni kubadilisha tu tittle kazi, jina la mtu anayetuma ujumbe na namba ya simu. Hii imezunguka sana tangu mobile phones zimeanza. Hivi bado wanapata victims? Ina maana polisi wameshindwa kuwakamata hawa watu!!! Nataka siku moja wakumbane na mimi tu wakione cha mtemakuni.
 
Lakini yupo anae taka kufanana na huyo mimi kaniliza vibaya mno! ngoja ntamuanika vizuri kesho!!!
 
Kamtumia juzi jamaa yangu ..na ilikuwa kiiiidogo tuu atume...yaani haikuzidi hata dakika 2....
 
mi nishalizwaga ila mpaka leo sipati logic ilikuaje maana hapo nilipopeleka cv nilipigiwa na mtu na akajitambuisha sasa najiuliza alipata wap cv yangu wakati hayuko pale kwa kifupi nimeajiriwa hapo na nimeshakaa muda kidogo ila naendesha msako kujua ni nan,ila wafanyakazi wa hapa wanasema hawamjui duh nachoka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom