Huyu "sugar mummy" kweli athibitisha ya kuwa mkono mtupu haulambwi......

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,174
Yaani kuna lijimama mmoja kazi yake ni kuwawekea vijana wadogo mitego na kuwanasa na kuwafanya wa watelekeze ma-gfs wao.

Kisa ni kuwa ana mrundo wa fedha na vijana wetu ambao wanapenda vya mteremko hutimkia huko. Amewavunja akina dada wengi moyo na kuwasonenesha kwa mapigo yake hayo ya kiutu uzima ya kuwanyang'anya mabwana zao ambao wengine walikuwa kwenye pilika pilika za kufunga pingu za maisha ............

Yaani kweli huu ni uungwana?

Akiulizwa hujigamba eti mwenye nguvu mpishe...........lakini baada ya kuwatumia hawa dogo dogo atakavyo huwatelekeza...........na hachukui kijana asiye na mwenzie hata kidogo.......kwa sababu apenda sana mashindano na masifa..........Tumfanyeje huyo "sugar mummy" maana amekuwa ni balaa hapa mtaani kwangu........................
 
Nafikiri jibu unalo for further information refer signature hii hapa chini, Welcome to the world

Women need a reason to have sex, but men just need a place :eyebrows::eyebrows::welcome:
 
anabaka habaki?abaki.
kijana anaingia mwenyewe kwa raha zake
sion km kuna umuhimu wa kuileta apa as long as anafanyia uko mtaan kwenu cha muhimu labda ungemface na kumwambia ukweli lakin kuileta apa sizani km ina manufaa cz wamama sampuli iyo ni nadra sana kuwepo kwenye intanet au ata gazet tu la kawaida kwao ni kazi kusoma
so we mfate bwana mpe kubwa
bt kwa vile ao wakaka si watoto na wengne wamefikia kiwango cha ndoa basi haina shda apo waache kwa raha zao as long hawavunji sheria!!!
 
naomba mawasiliano yake....................!
nina dawa ya kumtuliza na hatarudia tena kuwaliza kina dada..............!
 
Such kind of sugar mammies are plenty and differing categorically in Dar es Salaam; wengi wanakuwa na wanaume ambao hawawatoshelezi ktk mambo ya kuliwazwa kwenye mapenzi, vijana wanajua mno kujituma ktk hilo kiasi kwamba wanawafikisha kulee ambako hawajawahi kufika.
Na hili jimama ni kati ya hao!
 
Mh!hii ni hatari kubwa sana!Vijana wajifunze kusema HATUDANGANYIKI!
 
yaani kuna lijimama mmoja kazi yake ni kuwawekea vijana wadogo mitego na kuwanasa na kuwafanya wa watelekeze ma-gfs wao.

Kisa ni kuwa ana mrundo wa fedha na vijana wetu ambao wanapenda vya mteremko hutimkia huko. Amewavunja akina dada wengi moyo na kuwasonenesha kwa mapigo yake hayo ya kiutu uzima ya kuwanyang'anya mabwana zao ambao wengine walikuwa kwenye pilika pilika za kufunga pingu za maisha ............

Yaani kweli huu ni uungwana?

Akiulizwa hujigamba eti mwenye nguvu mpishe...........lakini baada ya kuwatumia hawa dogo dogo atakavyo huwatelekeza...........na hachukui kijana asiye na mwenzie hata kidogo.......kwa sababu apenda sana mashindano na masifa..........tumfanyeje huyo "sugar mummy" maana amekuwa ni balaa hapa mtaani kwangu........................

naona umelalamika sana mkuu au na wewe keshakuchukulia kijana wako nini?
 
Mh!hii ni hatari kubwa sana!Vijana wajifunze kusema HATUDANGANYIKI!
watawezaje kujifunza kusema no wakat akili zao zmejaa NJAA YA FEDHA NA UMAARUFU WA HARAKA HARAKA
kupenda dezo +maisha ya juu mjin apa kutawamaliza vjana weng wake kwa waume
wanachodream wao gud life+cars+gud places+nguo za gharama wakati muhubiri ashasema MAMBO YOTE CHIINI YA JUA NI UBATILI MTUPU
SJUI KWANINI shetan ataki kutuachia ubongo wetu tupate kuwaza vle mungu anataka
sasa ukishapata magari yote YALIYOANZA NA TZ +MAHOTEL YOOOOOOOTE DUNIAN+MANGUO YOOOOOOOOTE THEN NDO ITAKUWAJE?
UTAKUWA NA MIOYO MIWILI?
miguu mitatu?macho matano?utalala kwenye vtanda viwili?
aahh mungu ana haki yan ata ufanyaje uwe na mali kibao lakin utakula km wenzako tena unaweza kuambiuwa wewe usile nyama,maziwa wala samaki kwa sababu unaumwa....utalala kweny chumba kimoja infakt kwenye sehemu ndg tu ya ktanda uwez kujitawanya mguu mmoja chumba kile mgongo chumba kile sasa mahangaiko yote aya mpk yanayohatarisha utu na afya yako ni juu ya nini?
EEH MUNGU NAOMBA UNIPE BUSARA NA HEKIMA NIPATE WAZA KWA MWANGAZA WAKO .
 
Yaani kuna lijimama mmoja kazi yake ni kuwawekea vijana wadogo mitego na kuwanasa na kuwafanya wa watelekeze ma-gfs wao.

Kisa ni kuwa ana mrundo wa fedha na vijana wetu ambao wanapenda vya mteremko hutimkia huko. Amewavunja akina dada wengi moyo na kuwasonenesha kwa mapigo yake hayo ya kiutu uzima ya kuwanyang'anya mabwana zao ambao wengine walikuwa kwenye pilika pilika za kufunga pingu za maisha ............

Yaani kweli huu ni uungwana?

Akiulizwa hujigamba eti mwenye nguvu mpishe...........lakini baada ya kuwatumia hawa dogo dogo atakavyo huwatelekeza...........na hachukui kijana asiye na mwenzie hata kidogo.......kwa sababu apenda sana mashindano na masifa..........Tumfanyeje huyo "sugar mummy" maana amekuwa ni balaa hapa mtaani kwangu........................

waache wafu wamalize wau wao wakifa wazikane wenyewe...wala usiumize kichwa
 
Kwa kuwasaidia jamii weka jina lake hapa halisi kabisa!! Hii ni njia mojawapo ya kuwashtua vijana wengi. Ila na vijana siku hizi hamna maadili mnapenda sana vya mteremko. Aibu wala heshima hakuna, imebaki sodoma na gomora tu.
 
Back
Top Bottom