Huyu sijui anatokea wapi

Hii inanikumbusha dada mmoja aliyekuwa amevaa vizuri na umri wa kati. Nilikaa naye meza moja kwenye Harusi lakini hatufahamiani. Huku akidhani simuoni, akachukua glass akaiweka kwenye pochi yake. Nilimwambia hiyo sio tabia nzuri airudishe mezani hiyo glass, alionaje aibu!!!!!

Tiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…