Huyu si mtu ni mapupu

Namfahamu kuwa anayezungumziwa hapa. Shida yangu kubwa siyo siasa zake. Shida yangu kubwa ni pale anapojinasibu kuwa no mtu imani ya upande wangu, tena wakati mwingine akitamani madhabahu na kijiita mchungaji lakini anayoyafanya hayaendani.

Hakuna mtu aliyegusa maisha ya watu negatively kama mama wa kikokotoo lakini simchukii koz najua ni mwanasiasa kama wengine tu na huwa hajigambi kwa dini au imani yake. Sasa nikiona mtu anajigamba kwa imani yake kisha anamgomea kiongozi mkuu au wa juu ktk hiyo imani akitaka nafasi sawa ktk madhabahu huwa na mdharau....

Kwa imani hiyo hiyo anayajinasibu nayo inasema mtu akionywa mara nyingi na akishupaza shingo atavunjika na asipate dawa.
 

Ziraili wa gizani
 
Aisee...[emoji851][emoji851][emoji851]
ila mapupu mbona hayana ladha yoyote ? Ni kama unatafuna Mpira..??
Anyway we bro Jr, ni pambaaaaf...[emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
Ni kama unatavuna zega lisilo na asali [emoji38][emoji38]
 
Aisee...[emoji851][emoji851][emoji851]
ila mapupu mbona hayana ladha yoyote ? Ni kama unatafuna Mpira..??
Anyway we bro Jr, ni pambaaaaf...[emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
uswahili tabu sana inaelekea hata supu ya korodani ipo πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Ukiifatilia siasa lazima ujitoe akili unaweza kuongea au kuandika chochote hata kama huna ushahidi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…