Huyu Shem simuelewi aisee...

Seems ulimuelewa lkn umepata hofu baada ya kuhisi atakua anafanya kamchezo na mpenz wako? Fuata mawazo yako mzee hakuna majaribu ya namna hiyo hata Ngwair mwenyewe hakuacha mtoto aondoke
Nancy ee,basi sawa
 
sasa shemeji yako umemnyima namba ya simu kwa nini? Ilibidi utoe namba ili uone mchezo utaisha vipi mwisho wa siku. Mwili unataka roho inagoma hapo mwili lazima uishinde roho
 
Kwa taarifa yako hiyo Dada anataka kulipiza kisasi alichofanyiwa na demu wako kwa jamaa mwingine. Demu wako hajui kama hiyo demu alifahamu kuwa alimzunguka. Piga kimya kimya
Sawa muhaya wewe
 
2 days ago....
Mpaka leo hakuna kilichoendelea?
 
sasa shemeji yako umemnyima namba ya simu kwa nini? Ilibidi utoe namba ili uone mchezo utaisha vipi mwisho wa siku. Mwili unataka roho inagoma hapo mwili lazima uishinde roho
Mkuu nilikaza tu kiume ila nia yangu nimpe
 
acha uwongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…